Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nipo kwenye daladala auntie nacheka mwenyewe kama chizi ujue lindo linakuwaga siku mbili kila baada ya week
Kwahiyo wiki hii uliamua kutoa bonus ya wiki nzima?
 
Hata mm nimejiuliza. Haya mambo yawaweza kukupa ukichaa
Kama mtu umekosa mume/mke katika watu unaokutana nao kwenye shughuli za kawaida basi tatizo lipo tena kubwa, huku mtandaoni tunapata marafiki ambao pia anaweza kuwa mke/mume , lakini kuwa na nia kabisa ya kutafuta huwa inanishangaza
 
Mwanaume yeyote katika mahusiano anaitaji kwanza tendo,kuhusu kuwa mume....itategemea na nguvu yako ya ushawishi;walioolewa wote sio kwamba ni wazuri...bali walitumia uwezo wao mkubwa wa ushawishi pamoja na kutoa tendo ndio maana leo wanaitwa mrs.Kwa hiyo kuwakataa wale inawezekana umemfukuza mume mtarajiwa kwa kutokujua.
 
I hope uko na some ideas on how to stay safe uwapo online, maana utaaeza kuwa scammed ukashangaa mwnyew. Bongo unaeza kutana na mtu online mka date na kuoana, it's just inahitaji muda sana kumpata mtu sahihi. Me nlikutana na wife through Facebook tu and now tuko na mtoto mmoja, nlikua serious na yeye akawa ivo and we made it na bado tunaendelea poa tu. Usikate tamaa mapema sabab ya hao wawili tu, I wish you all the best![emoji4]
 
Ahsante sana kaka kwa kunitia moyo hope nitafanikiwa.
 
Hey style up, hunijui sikujui why jumping to the conclusion, utakuwa mswahili sana weye.
Punguza kidomodomo.
Kama mtu umekosa mume/mke katika watu unaokutana nao kwenye shughuli za kawaida basi tatizo lipo tena kubwa, huku mtandaoni tunapata marafiki ambao pia anaweza kuwa mke/mume , lakini kuwa na nia kabisa ya kutafuta huwa inanishangaza
 
Labda kwa wabongo lakini kwa nchi nyingi duniani hasa kutokana na busy life style mtandao ndiyo nambari one kwa kupata GF/BF na hata mke/mume na hizo sites zinatengeneza pesa nzuri kupitia utitiri wa wateja wao.

Kama mtu umekosa mume/mke katika watu unaokutana nao kwenye shughuli za kawaida basi tatizo lipo tena kubwa, huku mtandaoni tunapata marafiki ambao pia anaweza kuwa mke/mume , lakini kuwa na nia kabisa ya kutafuta huwa inanishangaza
 
Sure pengene angewapa mambo yangekuwa mazur
 
Sasa ulitaka wakuoe bila kukuonja??
 
Kuna point kubwa sana sijui kama watakuelewa. Nakazia tatizo sio kuliwa bali ni ushawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…