Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Fanya kazi utaona hela zinapokwenda.
 
Mwanaume usipopenda totizi sasaa utapenda nini?

Sifa ya kwanza ya mwanaume uwe na hela usiwe na hela ni kupenda wanawake. Wanawake ni zawadi ya asili ya mwanaume.

Kama Mzee Mrema alikua anapenda totozi nampongeza sana.
Utaachaje kupenda warembo? Hata warembo watakushangaa...jamani nyie vitumbua ni vitamu hatari kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Once a spy always spie
 
Duuh huu uzao unaweza kupotea angesimamia kucha azae sana huenda atabahatisha kijana
 
Sass mkuu unashangaa hiyo Mrema, nikiwatoka mimi leo si ndio mtasema hapa duniani nilikuwa nafanya nini, hivyo alivyokuwa anamiliki vinamtosha, wacha apumzike.
Tutashangaa kama ulishika hela kweli na hatuoni ulichofanya,ila kama hukushika wala hatutashangaa
 
Nafahamu kidogo tu,shamba moshi vijijini,nyumba kiraracha na sinza
Ungeleta taarifa kamili ya alivyokuwa akimiliki. Na jumla ya fedha zote alizopata au alizopaswa kupata kwa kila nafasi alizotumikia.
Hii ingesaidia wenye nia ya kujadili wajadili.
Tofauti na hapo hizi ni story za kule twitter kwa vijana wa ovyo
 

Sawa, ila ni wangapi wana hizo heka 10 huko? Hilo eneo la kuzunguka mlima ni dogo na lina rutuba sana, na kiwango cha kuzaana ni kikubwa. Na halifai kuuza maana limejaa makaburi yalikofanyika maziko ya matambiko. Eneo kama hilo utamuuzia nani?
 
Aliwekeza kwenye familia hasa kwenye upande wa elimu mitaji na miradi...katika familia yake hata ndugu wa karibu hakuna mnyonge hata mmoja.. Hiyo ndio turufu aliyoondoka nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna hata mnyonge! alijitahidi sana huyo mzee mungu awe naye milele na milele bwana ametoa na bwana ametwaa jina labwana libarikiwe amina
 
Ungeleta taarifa kamili ya alivyokuwa akimiliki. Na jumla ya fedha zote alizopata au alizopaswa kupata kwa kila nafasi alizotumikia.
Hii ingesaidia wenye nia ya kujadili wajadili.
Tofauti na hapo hizi ni story za kule twitter kwa vijana wa ovyo
Kumpigia hesabu ya kila senti huo utakuwa umbea,tunajua mafao ya mbunge,maslahi ya waziri na mshahara wa afisa kipenyo
 
Mrema amewahi kumiliki hekalu la kifahari meneo ya kawe beach na baade kuliuza kwa mzungu mmoja hivi ana mke mswahili kwa Jina la Killy Janga.

Amewahi kumiliki hekalu moja kali likiwa na nyumba yake ndogo maeneo ya Mbezi africana karibuna Juliana Night club maarufu kwa mama Mangapi RIP au mama nccr mageuzi.

Mzee alikuwa na asset sema kutokana na maisha ya wastaafu wengi na haswa kujiingiza kwenye siasa za upinzani alijikuta akiziuza muda mwingine kusaidia shughuli za chama.

Hata mze3 cheyo baada ya kuingia upinzani utajiri wake ulishuka sana, Hata marehemu Bob makani ukwasi ulishuka sana baada ya kuingia ufipani.

Maisha ya wastaafu Tanzania si rafiki sana yako very hostile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…