Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Hili liwe somo kwetu tuliobaki
 
Kumpigia hesabu ya kila senti huo utakuwa umbea,tunajua mafao ya mbunge,maslahi ya waziri na mshahara wa afisa kipenyo
Weka wazi hizo unazojua in figures ili hesabu zipigwe.
Leta thamani ya mali alizoacha marehemu ili ukweli ujulikana.
Usitulazimishe kuwa wambea!
Umeanzisha uzi, leta data mezani
 
acheni kumsimanga marehemu kwani mlitaka awe na nini kama nyumba anayo watoto wanesoma mengine ni ziada bwashee huenda alusaidia wasiojiweza siyo kama wengine wanaojilimbikizia mali utafikri wataishi milele hela zao badala ya kusaidia masikini wao nikuhonga wanawake ambao hao wanawake wabamaisha mazuri. nakubali mzee mrema alikuwa mjamaa
 
Weka wazi hizo unazojua in figures ili hesabu zipigwe.
Leta thamani ya mali alizoacha marehemu ili ukweli ujulikana.
Usitulazimishe kuwa wambea!
Umeanzisha uzi, leta data mezani
Kuna mtu hapo juu kasema aliwahi kumiliki mahekalu kawe beach na mbezi beach akayauza,jibu tumelipata siasa zilimfilisi
 
Siasa zilimfilisi ila alijitahidi kuamsha upinzani nchii hii,hakuna tunachomdai
 
Kuna mtu hapo juu kasema aliwahi kumiliki mahekalu kawe beach na mbezi beach akayauza,jibu tumelipata siasa zilimfilisi
Aliuza shilingi ngapi? Nani alikuwa shahidi?
Anyway... mali za mtu ni mali za mtu! Tusitake kujua zaidi!

NB: Kuna hoja mbili umetaja - afisa kipenyo na siasa za upinzani. Manyang'au ya ccm hayawawezi kukuacha salama wewe na mali zako ukisaliti kambi!
 
Viongozi wetu wengi pesa zinamalizwa na waganga wa kienyeji na wapambe
 
Au ndio maana Mbowe kaamua kurudi ule upande mwingine baada ya kuona siasa zitamfirisi?
 
Agustino alikuwa mzalendo wa kweli.

Wakati fulani miaka ya 199s alinunua lami mapipa kwa mapipa akiwa na lengo la kusaidiwa na Serikali ili aweke lami barabara ya kilalacha ambapo kuna hospitali na mortuary ya kilema,

Zoezi halikufanikiwa yale mapipa ya lami yakakaukia kule kando ya barabara,

Alifanya mengi, hata kutetea wanyonge.

Sijui hata kilichomfanya aoe huenda angekula kula hapo.
 
Bob Nyanga Makani hakuwahi kua tajiri.
 
Marehemu labda alikuwa anapenda TOTOS
 
Unamaanisha asingeoa angeweza kuishi zaidi?
 
Naskia Alikiba ile nyimbo ya "Mungu akupe nini macmuga" alimuimbia mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…