- Thread starter
- #101
Apumzike kwa amani ,case closedAliwekeza kwenye familia hasa kwenye upande wa elimu mitaji na miradi...katika familia yake hata ndugu wa karibu hakuna mnyonge hata mmoja.. Hiyo ndio turufu aliyoondoka nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani ,case closedAliwekeza kwenye familia hasa kwenye upande wa elimu mitaji na miradi...katika familia yake hata ndugu wa karibu hakuna mnyonge hata mmoja.. Hiyo ndio turufu aliyoondoka nayo
Hili liwe somo kwetu tuliobakiMrema amewahi kumiliki hekalu la kifahari meneo ya kawe beach na baade kuliuza kwa mzungu mmoja hivi ana mke mswahili kwa Jina la Killy Janga.
Amewahi kumiliki hekalu moja kali likiwa na nyumba yake ndogo maeneo ya Mbezi africana karibuna Juliana Night club maarufu kwa mama Mangapi RIP au mama nccr mageuzi.
Mzee alikuwa na asset sema kutokana na maisha ya wastaafu wengi na haswa kujiingiza kwenye siasa za upinzani alijikuta akiziuza muda mwingine kusaidia shughuli za chama.
Hata mze3 cheyo baada ya kuingia upinzani utajiri wake ulishuka sana, Hata marehemu Bob makani ukwasi ulishuka sana baada ya kuingia ufipani.
Maisha ya wastaafu Tanzania si rafiki sana yako very hostile.
Weka wazi hizo unazojua in figures ili hesabu zipigwe.Kumpigia hesabu ya kila senti huo utakuwa umbea,tunajua mafao ya mbunge,maslahi ya waziri na mshahara wa afisa kipenyo
AswaaHizo nyumba umeziona ?
Kuna mtu hapo juu kasema aliwahi kumiliki mahekalu kawe beach na mbezi beach akayauza,jibu tumelipata siasa zilimfilisiWeka wazi hizo unazojua in figures ili hesabu zipigwe.
Leta thamani ya mali alizoacha marehemu ili ukweli ujulikana.
Usitulazimishe kuwa wambea!
Umeanzisha uzi, leta data mezani
Siasa zilimfilisi ila alijitahidi kuamsha upinzani nchii hii,hakuna tunachomdaiacheni kumsimanga marehemu kwani mlitaka awe na nini kama nyumba anayo watoto wanesoma mengine ni ziada bwashee huenda alusaidia wasiojiweza siyo kama wengine wanaojilimbikizia mali utafikri wataishi milele hela zao badala ya kusaidia masikini wao nikuhonga wanawake ambao hao wanawake wabamaisha mazuri. nakubali mzee mrema alikuwa mjamaa
Aliuza shilingi ngapi? Nani alikuwa shahidi?Kuna mtu hapo juu kasema aliwahi kumiliki mahekalu kawe beach na mbezi beach akayauza,jibu tumelipata siasa zilimfilisi
Viongozi wetu wengi pesa zinamalizwa na waganga wa kienyeji na wapambeMarehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Au ndio maana Mbowe kaamua kurudi ule upande mwingine baada ya kuona siasa zitamfirisi?Mrema amewahi kumiliki hekalu la kifahari meneo ya kawe beach na baade kuliuza kwa mzungu mmoja hivi ana mke mswahili kwa Jina la Killy Janga.
Amewahi kumiliki hekalu moja kali likiwa na nyumba yake ndogo maeneo ya Mbezi africana karibuna Juliana Night club maarufu kwa mama Mangapi RIP au mama nccr mageuzi.
Mzee alikuwa na asset sema kutokana na maisha ya wastaafu wengi na haswa kujiingiza kwenye siasa za upinzani alijikuta akiziuza muda mwingine kusaidia shughuli za chama.
Hata mze3 cheyo baada ya kuingia upinzani utajiri wake ulishuka sana, Hata marehemu Bob makani ukwasi ulishuka sana baada ya kuingia ufipani.
Maisha ya wastaafu Tanzania si rafiki sana yako very hostile.
Bob Nyanga Makani hakuwahi kua tajiri.Mrema amewahi kumiliki hekalu la kifahari meneo ya kawe beach na baade kuliuza kwa mzungu mmoja hivi ana mke mswahili kwa Jina la Killy Janga.
Amewahi kumiliki hekalu moja kali likiwa na nyumba yake ndogo maeneo ya Mbezi africana karibuna Juliana Night club maarufu kwa mama Mangapi RIP au mama nccr mageuzi.
Mzee alikuwa na asset sema kutokana na maisha ya wastaafu wengi na haswa kujiingiza kwenye siasa za upinzani alijikuta akiziuza muda mwingine kusaidia shughuli za chama.
Hata mze3 cheyo baada ya kuingia upinzani utajiri wake ulishuka sana, Hata marehemu Bob makani ukwasi ulishuka sana baada ya kuingia ufipani.
Maisha ya wastaafu Tanzania si rafiki sana yako very hostile.
Marehemu labda alikuwa anapenda TOTOSMarehemu hasemwi ila ni vizuri tujue ili tulio hai tujifunze
Alianza kazi mwaka 1966 kwenyeile idara akizuga ni mwalimu.
Mwaka 1987 akawa mbunge,1990 mbunge tena.
Akawa waziri wa mambo ya ndani na waziri wa kazi,akawa naibu waziri mkuu(cheo cha mchongo kisichokuwepo kwenye katiba)
Akawa tena mbunge wa vunjo akiwa upinzani
Usimchukulie poa,hakuwa mtu mdogo
Ongeza na hiii Mwenyekiti wa NCCR,TLP na Parole huko kote ni afisa kipenyo akizuga kuwa ni mwanasiasa wa upinzani
Ila kila siku alikuwa analia njaa hata matibabu JPM ndio alikuwa anamtibia nje ya nchi kama hisan.
Huenda mama alimsahau ndio maana akatutoka.
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake
Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Unamaanisha asingeoa angeweza kuishi zaidi?Agustino alikuwa mzalendo wa kweli.
Wakati fulani miaka ya 199s alinunua lami mapipa kwa mapipa akiwa na lengo la kusaidiwa na Serikali ili aweke lami barabara ya kilalacha ambapo kuna hospitali na mortuary ya kilema,
Zoezi halikufanikiwa yale mapipa ya lami yakakaukia kule kando ya barabara,
Alifanya mengi, hata kutetea wanyonge.
Sijui hata kilichomfanya aoe huenda angekula kula hapo.
Umejuaje??Marehemu alikuwa anapenda sana kufungua zipu. Mungu amlaze anapostahili.
Nilifanya nae kazi miaka ya nyuma.Umejuaje??
Au wewe ulikua unamsaidia kufungua
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hilo Ndiyo Hata Sisi Tulio Hai Tunapigania La Siyo Kushindana Na MtuNyumba yake ni nzuri tu ya kawaida. Muhimu alikuwa na mahali pa kuishi standard.
Watu wanataka aishi kwenye ghorofa mtu mwenyewe alikuwa mgonjwa. Atapanda vipi ngazi. Hiyo nyumba Salasala inaonekana ni mpya kabisa. Itakuwa walijenga na mkewe nyumba ya kuishi standard tu. Walikuwa wameshazeeka.Hilo Ndiyo Hata Sisi Tulio Hai Tunapigania La Siyo Kushindana Na Mtu