Kwisha kabisa, wakale ubwabwa, kiukweli siasa za chadema unainjoy, kwa mfano kesi ya lissu ya leo inavutia sanaWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
kwahiyo bosi wa kikundi ni JoniWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
Wewe unakuwaje na Taasisi ndani ya Taasisi una Itisha Presd Conference kwenda Against na Mambo ya Taasisi, Kwa Seniority aliyonayo Mrema mbona anaweza Kuaccess Secretariat na Kuraise Concern zake,John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?
Hata gharama za Ukumbi wamelipiwaChaumma imekumbukwa kwenye mgao.
Ubwabwa huko unapatikana kwa wingi sanaNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
wameona aibu kwenda CCM wameamua kuingia CCM tawi dogo kabisaWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
well done,Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
Kutoka CHADEMA kwenda CHAUMA ni sawa na kutoka CRDB kwenda kuwa mweka hazina wa VICOBA.John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?
ILI UONEKANE MWENYE AKILI LAZIMA UWE CHADEMA?Zamani nilikuwa nafikir wachaga wote kabla Wana akili timamu
Hoja ya CDM chama cha kaskazini imekwisha,kwa sasa CDM kina sura rasmi ya nchicdm hq kimekuwa kijiwe cha wakurya na wanyaturu, kha hatamie ningelala mbele
pale wakati tunaingia kuna afande alitaka kuni-mind nikamkata jicho akapotezeaKwisha kabisa, wakale ubwabwa, kiukweli siasa za chadema unainjoy, kwa mfano kesi ya lissu ya leo inavutia sana
huyo kibaraka akuongoze wewe, Lissu hana akili timamu. Leo mahakamani alipanic anaongea maneno ya ajabuajabu.Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
KATIKA TAIFA HILI KUNA CHAMA AMBACHO SI TAWI DOGO?CHAUMA wameona aibu kwenda CCM wameamua kuingia CCM tawi dogo kabisa