Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania.
@emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa na uhalisia kabisa, ajabu ni kuwa si binadamu halisi, bali ametengenezwa na AI (Artificial Intelligence)