Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania.

@emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa na uhalisia kabisa, ajabu ni kuwa si binadamu halisi, bali ametengenezwa na AI (Artificial Intelligence)

View attachment 2865970
da!!!! kazi kwelikweli!!
 
Balaa la web 3, sijui tukifika web 4 itakuwaje
 
Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania.
Wale wa Sudan waliopo Muhimbili walioihamisha Dodoma yote wameishia wapi
 
Back
Top Bottom