makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mnatupiga fix, huyo sio robot, huyo ni mwanadamu wa kawaida tu, teknolojia bado haijafikia huko wazee.. Robot la mwisho nakumbuka ni yule wa alipewa na uraia wa dubai sijui, jina limenitoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ushawai kujiuliza katuni ametoa wapi hayo mapozi ndugu uwenda ameekewa condition za kubeba uzito SI wapo watoto wa maabara inashindikana vipi huyo kuwekewa conditionKatuni anazaaje sasa
Kwa nini ushindikane kwa A.I, kama tu CGI inafanya yote hayo, kwa nini A.I ishindwe.... nenda kwenye accounts ya huyo mdada wa A.I alafu ulete majibu hapa kama ni face swap.... Face swap zinajulikana. Hao waliosema hiyo ni A.I sio vilaza, ni watu wenye utaalamu wa motion picturesPicha sio issue, tunaongelea animation ambazo zipo smooth kama video ya mtoa mada, hizo haziwezekani kwa AI.
Nani kasema huyo ni Robot.... Soma tena upya ueleweMnatupiga fix, huyo sio robot, huyo ni mwanadamu wa kawaida tu, teknolojia bado haijafikia huko wazee.. Robot la mwisho nakumbuka ni yule wa alipewa na uraia wa dubai sijui, jina limenitoka.
Umewahi tumia hizo AI? Kugenerate tu picha ya kawaida it take time, video sekunde ni picha si Chini ya 24, Tena picha ziwe kwenye sequence. Zipo video za Ai ila motion yake inajulikana sio smooth kama hio. Hio ni deepfake.Kwa nini ushindikane kwa A.I, kama tu CGI inafanya yote hayo, kwa nini A.I ishindwe.... nenda kwenye accounts ya huyo mdada wa A.I alafu ulete majibu hapa kama ni face swap.... Face swap zinajulikana. Hao waliosema hiyo ni A.I sio vilaza, ni watu wenye utaalamu wa motion pictures
Waswahili wanasema hakuna linaloshindikana chini ya jua, msemo huo una maana yake...
Teknolojia sasa hivi imekuwa Advanced, nenda YouTube katafute Movies generated by A.I, zipo kibao... Sasa kama A.I inatengeneza Movies ya zaidi ya nusu saaa yenye watu na video smooth... Kwa nini ishindwe kwa Video ya dakika 1 ya ku-upload instagram.
Broda sio kwamba A.I inashindwa, ni wewe tu hujafanya research vizuri kujua uwepo wake....
Kweli kabisa iaee!Tuachqne na uzuri,she looks real sana.
Ni vigumu kumtofautisha na real human.
Hauna imani kabisa 😁, una mfahamu mwenyekiti wa nyeto dronedrakeSabuni ni ya kufulia nguo
Umewahi tumia hizo AI? Kugenerate tu picha ya kawaida it take time, video sekunde ni picha si Chini ya 24, Tena picha ziwe kwenye sequence. Zipo video za Ai ila motion yake inajulikana sio smooth kama hio. Hio ni deepfake.
Mfano deepfake imetumika movie Fulani ya Aamir Khan kumfanya SRK awe mdogo kama hapa
View: https://m.youtube.com/watch?v=L1u1U_WnDVM
Sina haja ya kwenda huko, nioneshe huyo mtaalamu aliosema hio video imekuja generated na AI.
Hapo sasa nimeelewa,Nani kasema huyo ni Robot.... Soma tena upya uelewe
Huyo dada sio mtu halisi, na hayupo Duniani... Hiyo ni video imetengenezwa na A.I na kupostiwa kwenye hiyo page ya instagram... Mastaa na matajiri wanajua ni demu wa kweli, kumbe ni video generated by A.I... lakini ukiitizama unaweza jua ni demu halisi
Nimekuambia umtaje huyo mtaalam hapo umeweka links za layman tu.Mzee baba kwani unaelewa nini maana ya Deepfakes na A.I
Kwanza unatakiwa kujua Deepfakes pia ni Artificial Intelligence (A.I). Deepfake ni machine learning language and techniques kama zilivyo A.I nyingine.
Huyo bi dada sio mtu halisi, katengenezwa na Chat GPT. Na hakuna mtu nyuma ya camera aloyebadilishwa sura. Teknolojia inazidi kuwa advanced na A.I zinazidi kuwa nyingi. Hivyo pia husikariri mtindo mmoja tu wa ubunifu wa Deepfakes na A.I. watu kila siku wanaumiza vichwa kuboresha A.I zizidi kuwa bora. Hivyo taarajia kushangazwa zaidi. Ila fahamu fika hakuna mtu nyuma ya huyo dada aliyefanyiwa Deepfake, bali huyo ni A.I kabisaaaaaaa
VYANZO
1. Celebrities And Millionaires Fall For Instagram Model Created By AI, Send Her Flirty Texts.
2. Who is Emily Pellegrini? The AI-created model that sports stars and confused millionaires are trying to flirt with.
3. AI-generated beauty Emily Pellegrini sparks frenzy among high-profile athletes.
5. Celebrities And Millionaires Fall For Instagram Model Created By AI, Send Her Flirty Texts.
6. Who is Emily Pellegrini? The AI-created model that sports stars and confused millionaires are trying to flirt with.
7. AI-generated beauty Emily Pellegrini sparks frenzy among high-profile athletes.
8. What are deepfakes – and how can you spot them? - The Guardian
9. What Are Deepfakes and How Are They Created? - IEEE Spectrum
10. Deepfake - Wikipedia
11. What are ‘deepfakes’ and how they might be dangerous - CNBC
Eggs actlyNothing is real under the sun, even this world is fake
Dunia inaenda kasi sanaSipati picha after 10 years life litakuwaje
Mzee baba wewe utakuwa ni Muha... Ulichokariri wewe unataka na wengeni wakariri...Nimekuambia umtaje huyo mtaalam hapo umeweka links za layman tu.
Deep fake inachofanya ni kubadili Sura ila movement hazifanywi na Ai hivyo huyo ni binadamu tu kama binadamu mwengine amebadilishwa Sura,
Mtaalam yoyote akiangalia hio video anajua, tafuta tech forum yoyote ipeleke hio video utapewa hili jibu.
Tutakuwa runafanya mapenzi na maroboti sasa🤣Sipati picha after 10 years life litakuwaje
Tulikuwa tunamcheka Eron Musk demu wake roboti, ndio hayo sasa😄Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania.
@emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa na uhalisia kabisa, ajabu ni kuwa si binadamu halisi, bali ametengenezwa na AI (Artificial Intelligence)
View attachment 2865970
Wewe umesema Kuna wataalamu wamesema hivyo nimekuambia source ya huyo mtaalamu hujaweka, usifikiri kitu kikitoka CNN basi kina Qualify hapo hapo kuwa mtaalamu.Mzee baba wewe utakuwa ni Muha... Ulichokariri wewe unataka na wengeni wakariri...
Sasa kama huyo ni Deep fake ya mtu mwingine, tuletee huyo mtu aliyefanyiwa deep fake...
Maana nimekupa source zote za kuaminika zaidi ya 10, ila bado umekaza fuvu. Waliotengeneza account na kupost hizo video wanasema imetengezwa na A.I ya chat GPT ila wewe unakaza fuvu na kusema huyo ni mtu halisi ila kanadilishwa sura