Wabaya wako, wanakutengenezewa kavideo unakula tunda kimasihara.AI litakuja kuwa ni tatizo kubwa sana, japo faida nazo ni nyingi
Ni kweli mkuu..kama wanawake wenyewe mitaani wanajichubua ili waonekane weupe halafu wanavaa vigodoro ili waonekane wana tako
Watengeneze na wakaka wazuri wazuri
Kwa hiyo mpaka uli coach kwa computer?Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania.
@emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa na uhalisia kabisa, ajabu ni kuwa si binadamu halisi, bali ametengenezwa na AI (Artificial Intelligence)
View attachment 2865970
HahhaaaOy anauwezo wa kuzaa huyo????
Nikiwaona tu kama hivi naenjoyUtawapataje?