Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

Just kutoa confusion hio sio AI huyo ni binadamu ila amefanyiwa deepfake/faceswap, AI Bado haijakua na uwezo huo.

Deepfake inatumika sana tu Sasa hivi hata kwenye movies,
 
Hatari sana hii AI. Kuna mmoja alitengeneza mrembo wa Kikorea. Alionyesha youtube jinsi alivyomtengeneza ili kila wakati awe vilevile bila kubadilika. Watu kibao wakaanza kumiminika kumtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…