Nae kakosea sana kuendelea kujibu vitu vya ajabu namna ile maswali hayaendani na hadhi yake kabisa.Nilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.
Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...
Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.
Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...
She is better than that...
Kwaherini wajukuu zangu
kapukuWapi huko
I shall comekapuku
Kitendo cha kuendelea kujibu maswali ya kipuuzi namna ile hata mi naanza kuhisi ni mtu yuleyule anajiuliza maswali na kujijibu. Sio hali ya kawaida aiseeNahisi kama mtu mmoja mwenye ID mbili.......!
Au watu wawili wenye jinsia aina moja!
[emoji12] [emoji12] Babu wewe unakaangwa liniAlafu weweeee.....[emoji117]
Bibi, nasubiria uniambie lini utaniweka kikaangoni
Na mimi nataka intaviyuu jomoni!
Jihogo
Unajielewa hlf upo chadema khaaaaa maajabu nilijua wanaojielewa hwn vyamaUshauri mzuri hasa katika mambo ya kibiashara
Na
Kuweza kujielewa hasa katika siasa...
La jang'ombeJihogo