Letrisha
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 337
- 840
Nae kakosea sana kuendelea kujibu vitu vya ajabu namna ile maswali hayaendani na hadhi yake kabisa.Nilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.
Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...
Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.
Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...
She is better than that...
Kwaherini wajukuu zangu