Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Nilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.

Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...

Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.

Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...

She is better than that...

Kwaherini wajukuu zangu
Nae kakosea sana kuendelea kujibu vitu vya ajabu namna ile maswali hayaendani na hadhi yake kabisa.
 
Nahisi kama mtu mmoja mwenye ID mbili.......!

Au watu wawili wenye jinsia aina moja!
Kitendo cha kuendelea kujibu maswali ya kipuuzi namna ile hata mi naanza kuhisi ni mtu yuleyule anajiuliza maswali na kujijibu. Sio hali ya kawaida aisee
 
d37336d8db8f2d81d390d6bf330a202d.jpg
wtf
 
mnaolalamika maswali hayaendani na hadhi yake mnanichekesha sana, mbona muulizwaji anajibu... sa nyie mnaumia nini[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom