Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babe boo
Ohhooooo.......[emoji12] [emoji12]
Naona umemzidi muuliza maswali kwa ujanja na upeo wa kujibu maswali aiseeeee.......
Muuliza maswali amechemka na ameuliza maswali yasio fikirishi kabisaaaaa.......
Huu ni mtazamo wangu, naomba nisieleweke vibaya.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Maserati jibu haya maswali hyo ya mapenzi yanatosha!
1.bila shaka uliishia form4,kwa nini ulishindwa kuendelea na masomo?
2.wewe ni mchagga Wa Marangu,machame,kibosho au rombo?
3.kwa nini wanawake wa Kilimanjaro mnadhamini pesa kuliko mapenzi?
4.mpaka sasa unafikiri hii nchi inaelekea sehemu sahihi?
5. Mwisho..una ndoto za kua mwanasiasa mbeleni au tiari ushakua?

young kilimanjaro
Una wasiwasi na mtu usie mfahamu??
Ni vizuri kujifanya unamfahamu mtu,lakini si vizuri kuandika usio yajua kuhusu yeye. Mimi si mchana na elimu yangu ni bachelor degree.
 
Ohhooooo.......[emoji12] [emoji12]
Naona umemzidi muuliza maswali kwa ujanja na upeo wa kujibu maswali aiseeeee.......
Muuliza maswali amechemka na ameuliza maswali yasio fikirishi kabisaaaaa.......
Huu ni mtazamo wangu, naomba nisieleweke vibaya.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uko sahihi, Maserati sio wa vituswali vidogo hivi
 
Back
Top Bottom