Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Yes,kwa sababu alinicheat. Everyone experience it in the world of love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,kwa sababu alinicheat. Everyone experience it in the world of love
Karibisha maswali kwa wengine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babe booNikosa kwa mwanaume aliekamilika kutumia neno (my).
Mkuu ruhusu wengine wenye maswali wamuulize
Karibuni kwa maswali yenye maana mnayodaiKaribisha maswali kwa wengine
Ohhooooo.......[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babe boo
Kama sio kwanin wapenda kuwachatisha kimahaba rafiki zako wa kike?
Kwa sababu nayapenda magari ya kifahari yanayotengenezwa huko Modena Italy yanaitwa maserati.Kwa nini anajiita Hilo jina? Hilo jina linasadifu maisha yake?
Maserati hebu tusaidie cv yako hapa
Bachelor DegreeUnaelimu gan?
ChademaWw ni mfuasi wa chama gani cha siasa?
Hapana,dini yangu hairuhusu hayo
Una wasiwasi na mtu usie mfahamu??Maserati jibu haya maswali hyo ya mapenzi yanatosha!
1.bila shaka uliishia form4,kwa nini ulishindwa kuendelea na masomo?
2.wewe ni mchagga Wa Marangu,machame,kibosho au rombo?
3.kwa nini wanawake wa Kilimanjaro mnadhamini pesa kuliko mapenzi?
4.mpaka sasa unafikiri hii nchi inaelekea sehemu sahihi?
5. Mwisho..una ndoto za kua mwanasiasa mbeleni au tiari ushakua?
young kilimanjaro
Uko sahihi, Maserati sio wa vituswali vidogo hiviOhhooooo.......[emoji12] [emoji12]
Naona umemzidi muuliza maswali kwa ujanja na upeo wa kujibu maswali aiseeeee.......
Muuliza maswali amechemka na ameuliza maswali yasio fikirishi kabisaaaaa.......
Huu ni mtazamo wangu, naomba nisieleweke vibaya.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona umejibu wewe??Ontario
Kumbe nimejibu mimi? SijaonaMbona umejibu wewe??