Mrembo namba moja nchini(Diva-Loveness-Love) atokwa na machozi baada ya kushuhudia wananchi wakigombania daladala

Mrembo namba moja nchini(Diva-Loveness-Love) atokwa na machozi baada ya kushuhudia wananchi wakigombania daladala

Huyu Dada ana matatizo ya akili. Mshaurini aende kwa wataalam kupata msaada zaidi. Pia mleta mada una tatizo nadhani la akili, mrembo namba moja nchini? Ana uzuri gani ? You must be out of your gad damn mind!!
 
Hajawahi panda daladala halafu analiwa na kiba wa kariakoo.

Sura lake kama chapati ya mama sikujua
 
Diva alishawahi kufukuzwa hadi kwenye nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa kodi na mwenye nyumba aliamua tu kusamehe. Basi namuangaliaga nacheka tu. Hamna mtu anaigiza maisha kama huyu Diva
 
Huyu nae khaaaa kujiona huko kwiooooh, km wema nae alitoa maneno kuwa bila gari sijui angefanya matembezi vipi na blah blah nyingi msieeeeeew zao.
 
Yan mbwa huuy nataman kumpiga makofi mxieew na angekua na hayo maisha mazuri Sijui ingekuaje fala huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu umechafukwa hivi lol.
 
Hata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mtoa mada kama huyo dada ni mrembo namba moja basi una Makengeza...
 
Diva alishawahi kufukuzwa hadi kwenye nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa kodi na mwenye nyumba aliamua tu kusamehe. Basi namuangaliaga nacheka tu. Hamna mtu anaigiza maisha kama huyu Diva
Wasanii wengi ndio zao kufake life sijui ili iweje khaaaah
 
Wasalaam wana jamvi,

Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na kuishiwa nguvu hata za kusafiri. Kwakweli anasema kuwa katika maisha yake hakuwai kujua kama watu wanateseka sana kugombea usafiri hapa nchini..............

Namnukuuu
divatheebawse's profile picture's profile picture

divatheebawse

'Nimeenda Tanga Kwa Bus nimerud Kwa Bus Nimefika makonde nikashuka kuna kituo nikakaa msubiria driver anifate. nikaona watu wanakimbilia madaladala ... nikawa naangalia Yan being on a Public area kupanda bus kutoka nje nimeona shida [emoji22]
Nimepata shida sana sio Maisha Nimezoea.
..............
nimekaa nikajiuliza wanaoishi hivyo kila siku wanaishije wanaokimbilia daladala vile hadi Jasho aisee afu wanawake in 5minutes only nimeona huruma sana ...nimekaa dakika 5 kituo cha bus makonde nasubiri driver wangu apige uturn aje anichukue nilihisi kama naumwa yan felt so bad kwa watu waliokaa juani wanasubiria daladala .. nimewaonea huruma sana wale wanaohangaika na dalaldala nataman treni zije kama nchi za nje wapande kwa amani tu na ticket zao ili wasikimbilie daladala .

anyways back in Dar es salaam ...but I wish Tanga Kuwe na Ndege inayofika hadi vijijini just saying or ndege binafsi ziuzwe nichange ninunue kandege kadogo niwe na rubani wangu road trip zinachosha aisee .... Had along trip toka border la mombasa to Dar es salaam Jamani niko hoi. ila nimekula aisee nimekulaaaaa [emoji2356]misosi hadi nimepona [emoji120]

Back in My Place .. I miss My bath tub vijijini hakuna [emoji23][emoji23][emoji23] I Miss my beautiful apartment jamannn ...I Miss my sistaz and La Familia ... [emoji123] back in my home safe n sound and ey stay safe outhea.

Nashukuru Mungu nimefika salama Alhamdulilah [emoji120]

I speak my truth ataemind sorry ila dah Poleni sana jamani Poleni in a good way .."


Wasalammm
Kiki za muhaya mwenzako huyo
 
Back
Top Bottom