mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
huyu si mtooto wa malinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utajuwaje ubulaza kama haupo hivyo!!!!!! anzisha mada uelezeee...😅Umeandika nini we kilaza?
mrembo namba moja nchini! ok sio swala, sema nini... mwambie ajiunge JamiiForums
Mahari yake ikifika buku nistue ..Kashapata mume na mahari yake ya milioni mia?
Atupishe tuu aendelee kusubiri ile mahari yake ya milioni 20 sijui [emoji23] atuache na joto letu tupambanie daladala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu umechafukwa hivi lol.Yan mbwa huuy nataman kumpiga makofi mxieew na angekua na hayo maisha mazuri Sijui ingekuaje fala huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHata mimi niliona watu wanakula mihogo nilisikitika sana aisee. Yaani maisha yangu yote hapa Kariakoo nilikuwa sijawahi kuona mihogo.
Wasanii wengi ndio zao kufake life sijui ili iweje khaaaahDiva alishawahi kufukuzwa hadi kwenye nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa kodi na mwenye nyumba aliamua tu kusamehe. Basi namuangaliaga nacheka tu. Hamna mtu anaigiza maisha kama huyu Diva
Kiki za muhaya mwenzako huyoWasalaam wana jamvi,
Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala uko Tanga na wengine wakisubiri usafiri bila mafanikio..hali iliyomfanya Diva kusikitika sana na kuishiwa nguvu hata za kusafiri. Kwakweli anasema kuwa katika maisha yake hakuwai kujua kama watu wanateseka sana kugombea usafiri hapa nchini..............
Namnukuuu
![]()
divatheebawse
'Nimeenda Tanga Kwa Bus nimerud Kwa Bus Nimefika makonde nikashuka kuna kituo nikakaa msubiria driver anifate. nikaona watu wanakimbilia madaladala ... nikawa naangalia Yan being on a Public area kupanda bus kutoka nje nimeona shida [emoji22]
Nimepata shida sana sio Maisha Nimezoea.
..............
nimekaa nikajiuliza wanaoishi hivyo kila siku wanaishije wanaokimbilia daladala vile hadi Jasho aisee afu wanawake in 5minutes only nimeona huruma sana ...nimekaa dakika 5 kituo cha bus makonde nasubiri driver wangu apige uturn aje anichukue nilihisi kama naumwa yan felt so bad kwa watu waliokaa juani wanasubiria daladala .. nimewaonea huruma sana wale wanaohangaika na dalaldala nataman treni zije kama nchi za nje wapande kwa amani tu na ticket zao ili wasikimbilie daladala .
anyways back in Dar es salaam ...but I wish Tanga Kuwe na Ndege inayofika hadi vijijini just saying or ndege binafsi ziuzwe nichange ninunue kandege kadogo niwe na rubani wangu road trip zinachosha aisee .... Had along trip toka border la mombasa to Dar es salaam Jamani niko hoi. ila nimekula aisee nimekulaaaaa [emoji2356]misosi hadi nimepona [emoji120]
Back in My Place .. I miss My bath tub vijijini hakuna [emoji23][emoji23][emoji23] I Miss my beautiful apartment jamannn ...I Miss my sistaz and La Familia ... [emoji123] back in my home safe n sound and ey stay safe outhea.
Nashukuru Mungu nimefika salama Alhamdulilah [emoji120]
I speak my truth ataemind sorry ila dah Poleni sana jamani Poleni in a good way .."
Wasalammm