Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Eti chuu jamanii🀣
 
Unampa makavu live au sio?Leo naona ni mwendo wa kunguni tu Glenn 🀣🀣🀣🀣🀣🀣.....We katoto muache X wangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ namuonaga anavyowajaza mademu basi wanavimba makomwe wenyewe!!!
Basi namuacha dada sie ss hivi tuko busy na BMW letu hatutaki shida na watu 🀣🀣🀣
 
Mmekutana na sisy naye ana nyota ya kupendwa sasa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daah niwe mkweli, mtu akiwa na roho ndogo kamwe hawezi kuwa mpenzi wangu.

Jamn hii nyota za wadadazi naombaga igeuke iwe nyota ya pesa.

Hii kitu imeanzia mbali sana wakuu nipeni dawa
 
Hiyo sisi hatutaki kujua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii imeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…