Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Maboss gani hao wananigombania?kwani T uone ni nae boss?unanimix๐๐๐๐ Basi naacha ila dada unagombaniwa na maboss humu?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maboss gani hao wananigombania?kwani T uone ni nae boss?unanimix๐๐๐๐ Basi naacha ila dada unagombaniwa na maboss humu?!!
Mmekutana na sisy naye ana nyota ya kupendwa sasa!! ๐๐๐Wananipenda nifanyeje?
Nimezaliwa kuwapa amani asee, mimi ni mtume na nabii wao ujue๐๐
Eti chuu jamanii๐คฃUnatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.
Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.
So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
๐๐๐๐ namuonaga anavyowajaza mademu basi wanavimba makomwe wenyewe!!!Unampa makavu live au sio?Leo naona ni mwendo wa kunguni tu Glenn ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.....We katoto muache X wangu
Daah niwe mkweli, mtu akiwa na roho ndogo kamwe hawezi kuwa mpenzi wangu.Mmekutana na sisy naye ana nyota ya kupendwa sasa!! ๐๐๐
Pole sana mi natambua we ni fighter tunatandikaga wote majamvi kwa kanji ๐คฃ๐คฃ๐คฃ sema nimemix ID zenuYani hata alipoandika 'kuteseka sio sifa' sio mimi kabisaaaa ๐
Itakuwa kasahau kuongeza n...manake sinaga 'itikadi' za utajiri wa wanaume aseee
Eee mi napenda Hela,J mwingine hapendi.Kumbe ni watu wawili tofauti na husemagi ๐คฃ
Naona umeokota pini yakoEti chuu jamanii๐คฃ
Hiyo sisi hatutaki kujua ๐๐๐Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.
Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.
So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
Asante studio ๐คฃ๐คฃ๐คฃEee mi napenda Hela,J mwingine hapendi.
Si hao hao wadadaz watoe TOZO....mambo yanakuwa bambamDaah niwe mkweli, mtu akiwa na roho ndogo kamwe hawezi kuwa mpenzi wangu.
Jamn hii nyota za wadadazi naombaga igeuke iwe nyota ya pesa.
Hii kitu imeanzia mbali sana wakuu nipeni dawa
Usiponielewa napungukiwa nini?Hiyo sisi hatutaki kujua ๐๐๐
Hii imeendaUnatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.
Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.
So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
Wakiona sifai wapite hiviii๐๐Hii imeenda
Umesahau km ndiye boss no 1 jf nzima ๐๐๐Maboss gani hao wananigombania?kwani T uone ni nae boss?unanimix
Dj anisindikize na Amapiano๐คฃ๐คฃAsante studio ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Haijaenda kokote ๐๐๐Hii imeenda