Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.

Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.

So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
Eti chuu jamanii๐Ÿคฃ
 
Unampa makavu live au sio?Leo naona ni mwendo wa kunguni tu Glenn ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.....We katoto muache X wangu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ namuonaga anavyowajaza mademu basi wanavimba makomwe wenyewe!!!
Basi namuacha dada sie ss hivi tuko busy na BMW letu hatutaki shida na watu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mmekutana na sisy naye ana nyota ya kupendwa sasa!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Daah niwe mkweli, mtu akiwa na roho ndogo kamwe hawezi kuwa mpenzi wangu.

Jamn hii nyota za wadadazi naombaga igeuke iwe nyota ya pesa.

Hii kitu imeanzia mbali sana wakuu nipeni dawa
 
Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.

Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.

So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
Hiyo sisi hatutaki kujua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unatakiwa uombe maokoto separetly usihusiane na sex.
NAkupa kiroho safi.
Sex sinunuagi wala si uzi.

Nikianza kununua sex sitataka mpenzi wa kudumu kwani wauzaji ni warembo kupitiliza.

So uelewa sinunui wala siuzi.
Kupeana pesa ni muhimu lkn silipii chuu...big no
Hii imeenda
 
Back
Top Bottom