Bongo jau πππWallah, surprise Birmingham sio bongoland
Jau sanaBongo jau πππ
Kina Ben wana ahadi zisizokamilika ni washenzy washenzy tu πππSasa hizo bashasha za Ben ndio zimemvuruga kichwa!
Haya mtajijua na miduara yenuπOkay.... uzuri wa hizi mambo ni mduara
Kwani ulimpiga chini kwa ajili hiyo?ππKina Ben wana ahadi zisizokamilika ni washenzy washenzy tu πππ
Huyu fisi sasa anachagua mfupa ujue hajiwezi tenaπNajua nachopata legend, mvinyo wa zamani wanasema wenyeweπππ
Safi sana Ben wanawavua vyupi kwa ahadi kedekedeπππKina Ben wana ahadi zisizokamilika ni washenzy washenzy tu πππ
Eeee kaaka πππKwani ulimpiga chini kwa ajili hiyo?ππ
Sie tena?mtajijua nyie mnaolala chadema mnakula CCM ,kumbe hao CCM wanakula ACT wanalala CUF wanaolala CUF nao kumbe wanakula NCCR.....Utajua hujuiπHaya mtajijua na miduara yenuπ
Tunavuana kwani wao wanakua nazo muda huo? πππSafi sana Ben wanawavua vyupi kwa ahadi kedekedeπππ
Wanawake wengi hasa wenye umri wa wastani yaani 21 hadi 27 hujiona ni hot cake, kwahiyo hawajui wanataka nini.Nnachojiuliza, inamaana huyu mrembo alikua na watu wengi wenye uwezo wa kumpatia zawadi ya gari?
Sawa Legendary japo chipukizi wanataka kukupima presha humu,ππNajua nachopata legend, mvinyo wa zamani wanasema wenyeweπππ
Hayo maigizo kamwe sifanyi, kwanini nitese kiungo changu muhimu?Sie tena?mtajijua nyie mnaolala chadema mnakula CCM ,kumbe hao CCM wanakula ACT wanalala CUF wanaolala CUF nao kumbe wanakula NCCR.....Utajua hujuiπ
π π ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£