Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Hiyo age ukiweza ikimbie na ukae nayo mbali, hilo la kujiona ndafu sasa ndio balaa mkuu.
 
Hayo maigizo kamwe sifanyi, kwanini nitese kiungo changu muhimu?
Kiungo muhimu ni moyo,au umesahau umeambiwa "tunza sana moyo wako kuliko vyote utunzavyo"kwani na hicho kiungo uliambiwa😁😁😁😁???
 
🤣🤣Babu,hiyo baiskeli lazima ilikuwa phonex........
Kumbe Babu ungekuwa kijana zama hizi ungehonga hata Vanguard wewe!
Hatari Sana Mjukuu 🙌

Ni kweli ilikuwa Phoenix tena niliinunua shilingi 48 miaka ile, ambayo kwa miaka ya sasa thamani ya fedha ile unaweza kupata iPhone 15

Mapenzi ni hatari Mjukuu, bora sasa tumezeeka 🤗
 
Mwambie yangu ipo 115/82, almost perfect. Atapigwa dude na mpare ashangae na mvi zangu kidevuni...
...ila bado, mimi na wazee wenzangu😁😁😁
🤣🤣🤣Aisee kama kidevu kina Mvi nilishakukataza kuleta taharuki Kwa underage,maana watakutana na Mvi sehemu nyingine bure🤦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…