Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Hii clip nilitaka kumtumia kaka mzuri jana, aone alivyo na bahati.
Mimi wala asinijaribu, namtaja bila kupepesa.

BTW hii clip kwa tunaomfuatilia jamaa (mtangazaji) ni kweli, amewahi kuwahoji wengi tu.
Siku akikutana na mimi nitaweka mfano, wanawake tutulie jamani! Loh
 
Hahaha...........nilisema kabla sijakiingia kile Kiwanja, wacha nitibu kwanza Presha yangu.

Maana najielewa Mimi, katikati ya Pambano lazima nimeze dawa zangu za Presha 😅🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna clip ya Kiredio niliona
Nahisi kwa asilimia flani uwa ni calls za ukweli…
Bidada ameyatimba.. matipo hizi ni kweree.

Bidada hapo alivyosikia sauti ya jamaa ndo akajua ni Sele na sio Ben..
ukute Ben ndo alikuwa mtuma maokoto, hiyo siku Sele akaona akaze kichwa atoe gari.

BTW tumepata somo.
 
Hahahaha, vingine dk chache tu vipo hoi, sipendi tu manake vingi hata vikifika havielewi kama tayari au bado..🤣
Basi itakuwa wanatofautiana.

Kuna mmoja wakati nina miaka 2 tangu nistaafu, si alikuwa na hizo Pigo.

Yaani pamoja na kutumia mbinu zote za medani hachoki tu, nikanyanyua mikono juu.

Cha kufia nini wakati Mama ameongeza Pension 😅🏃🏃🏃
 
Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani 🙌

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
Unakapa ka Malaya gari hakana hio hadhi zaidi kanawachanganya wanaume na kuwatia mikosi tu
 

View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Vijana ndio sababu ya mgogoro
1. Hamas vs Israel.
2. Ukraine vs Russia

Vijana ndio Sabab ya kukatikakatika umeme.

Umeme ndio sababu ya just Kali nchini
 
Back
Top Bottom