Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Nimekaa kimya, moyo ukaniuliza bro unawaza nn leo? Nikajibu eti moyo kama ningekuwa tajiri kama MO au bakhresa ningeweza mzawadia mpenzi wangu gari au nyumba? Moyo ukanijibu unaanza kuwaza ufala siku hizi,,,,,
 
Uwe unanitonya jamani nisijechomwa mishale πŸ˜…πŸ˜…πŸ₯°
Ukimsikiliza huyo ndg yangu utakosa b
Niliona kweli L ni chizi anamchabo maza ake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema tulikua watoto Mungu atusamehe!!
Yule mzee ana bonge la mkia km la punda afu jeusiiiii tiii!!! Yule baba sijui mjaluo?
na ule utoto had usiku niliweweseka
Mjinga sana, unaweweseka ukiutamani au?🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Wanasema kuteseka sio sifa, wote wanataka wanaume matajiri humu wakiongozwa na ma sniper waandamizi Joanah bila kumsahau Lamomy
,
Nimecheka
Mie lini nimeongelea utajiri wa mwanaume?ama umechanganya IDs?

Sijawahi kuwa muumini wa pesa za kupewa na mwanaume
 
Back
Top Bottom