Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Una laana wewe, ntakuitia mgerasi ujue😂😂😂Ulikuwa unatisha ni mkubwa afu mweusi mno km kambale 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una laana wewe, ntakuitia mgerasi ujue😂😂😂Ulikuwa unatisha ni mkubwa afu mweusi mno km kambale 😂😂😂
Yaani mi na ushangazi wangu nivunjiwe mahusiano na Kindergarten jamani??sio kweliSi ndio amevunja mahusiano?
Naona amekujaza upepo hadi ukaniacha
Huyu atakuwa alisahau kuweka "n" Moja huyu🤣🤣😅🤣🤣itakuwa alikuwa ananitaka Mimi eti Extrovert ulimtaka J Mimi au J huyu?
Wewe mtu sana wewe, kwa hii tabia nitajikakamua upate hata RaumYani hata alipoandika 'kuteseka sio sifa' sio mimi kabisaaaa 😅
Itakuwa kasahau kuongeza n...manake sinaga 'itikadi' za utajiri wa wanaume aseee
😂😂😂 kwan mmeachana?Si ndio amevunja mahusiano?
Naona amekujaza upepo hadi ukaniacha
Nakuamini sana kwenye hicho kipengele....Yaani mi nazipenda sana Hela ya baby wangu Ina kaharufu flan hivi kazuri Kako tofauti na zile za kwenye vikoba😥😅😅😅Yani hata alipoandika 'kuteseka sio sifa' sio mimi kabisaaaa 😅
Itakuwa kasahau kuongeza n...manake sinaga 'itikadi' za utajiri wa wanaume aseee
Wewe mtu sana wewe, kwa hii tabia nitajikakamua upate hata Raum
Woi keshabebwa kitambo na Mpare flani huwa anaandika nyuzi ndeefu anajiita Heriel sijui hereni😂😂😂😂😂😂 kwan mmeachana?
We sema kweli? Mnavyopendana mnaachanaje sasa?!! Emu rudianeni uko
Kwani kweli mmeachana? 😂😂😂Yaani mi na ushangazi wangu nivunjiwe mahusiano na Kindergarten jamani??sio kweli
Sasa kwa bajeti ya 13m gari kapi katakufaa?.Daaah!umetaja gari ambayo siipendagi kinoma...au nishawahi kukwambia siipendi unanifanyia makusudi 🤣
Huwa nacheka asivyompa kupumua, yaani wakigombana nyumbani wanafuatana jf kutukanana huku anaambiwa tukana uone🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani kweli mmeachana? 😂😂😂
Au tukana uone kakuchukua jumla?
🤣🤣🤣 wamekupokonya malkia wako bro?Woi keshabebwa kitambo na Mpare flani huwa anaandika nyuzi ndeefu anajiita Heriel sijui hereni😂😂😂
Huwa sirudi nyuma atabaki kuwa mshikaji tu kanivunja moyo sana, akirudi atateseka bure😂😂😂 kwan mmeachana?
We sema kweli? Mnavyopendana mnaachanaje sasa?!! Emu rudianeni uko
Mpango wako unataka kunivuruga Medulla Oblongata Sasa🤦🤦🤦🤦Kwani kweli mmeachana? 😂😂😂
Au tukana uone kakuchukua jumla?
Niligoma kutoa pesa mpare akanizidi🤣🤣🤣 wamekupokonya malkia wako bro?
Na ujanja wako unaojisifia kuwajua wanawake wamekupora? 😂😂😂
Shemeji yangu yule ananipa raha na maneno yake 😂😂😂😂Huwa nacheka asivyompa kupumua, yaani wakigombana nyumbani wanafuatana jf kutukanana huku anaambiwa tukana uone🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asije akatimba hapa akaleta balaa lake...Huwa nacheka asivyompa kupumua, yaani wakigombana nyumbani wanafuatana jf kutukanana huku anaambiwa tukana uone🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣