Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Ana hofu GamboMbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/
Labda wamepelekwa KolomijeAna hofu Gambo
Huyu alibebwa kwa mbeleko ya mwendazake
Wabunge wote wa kubebwa wamechanganyikiwa
Yule wa kuwapeleka Birngham City kule kawe..... Bado
Dawa ya deni ni kulipa na siyo kujificha CanadaHalafu mtu na akili timamu anashangilia!!! Kwamba maneno haya yamesaidia nini na kutatua kero gani za wananchi?
Hakika.Dawa ya deni ni kulipa na siyo kujificha Canada
Lakini madeni yanalipwa yakiwemo yaliyokopwa na watangulizi wakeSasa Madeni ni kitu gani? Rais Samia tu kakopa Trillion 30 in less than 2 years.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/
Hata yeye ana kopa, hata lipa yeye. Ila kasi yake ya kukopa iko 5GLakini madeni yanalipwa yakiwemo yaliyokopwa na watangulizi wake
Yamesaidia kujua wanasiasa wote wapo kwaajili ya matumbo yao?Halafu mtu na akili timamu anashangilia!!! Kwamba maneno haya yamesaidia nini na kutatua kero gani za wananchi?
Dawa ya deni ni kulipaLema katuaibisha sana wamachame.. Si angerudi Xmas pale Nronga aombe asaidiwe kulipa madeni yake..
Hivi nalo Hilo ni sehemu ya kero za wananchi wa Arusha?Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/
Madeni ni nini, kama mataifa yana daiwa ndio mtu wa kawaida aogope deni kwa vitisho vya maadui zake?Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.