Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
Tabia za akina mama wa pwani haziishi
 
Kwani Gambo keshapitishwa na wajumbe na Chama chake kugombea?...au CCM wamefuta kura za maoni?!
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.

Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.

Huyo Gambo ndani ya CCM yenyewe kama kutakuwa na kura za haki, hatoboi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Madeni ni kitu gani? Rais Samia tu kakopa Trillion 30 in less than 2 years.
Huyu anajua hatahusika nayo. Yaani halipi yeye. Si mshahara wake, si posho yake wala si pensheni yake. Ye ufahari wake ni kuitwa rais fulani tu. Mengineyo mtajua wenyewe
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.

Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.

Naye alipe hela za chama cha boda boda
 
Back
Top Bottom