Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Huyu Gambo tangu wale jamaa waliokuwa wanamsaka na wakiwa na kondom na kilainishi walivyofanikwa kumla amekuwa mjinga sana
 
Kwamba Lema ni "guarantee kuwa ni mgombea wa ubunge Arusha kupitia Chadema"??

Yaani hata Wana chadema wengine hamuwapi nafasi ?.....

Na kwamba wewe mwana JF unashabikia hizi siasa za kumilikisha watu majimbo hata kama hawajapitishwa bado rasmi?
Hili swali hata yeye Gambo anaweza kuulizwa. Je anauhakika atapitishwa na ccm kugombea Arusha mjini?
 
Hili swali hata yeye Gambo anaweza kuulizwa. Je anauhakika atapitishwa na ccm kugombea Arusha mjini?
Kwa kuwa tunajua kuwa Kuna kura za maoni za kukupitisha kabla hujawa mgombea.

Je Gambo ana uhakika gani, kama jina lake halitakatwa?
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.

Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.

Hayo Ndiyo maneno siasa ni majigambo nakupigana vijembe hakuna ustaarabu kwenye siasa kama umeamua kuingia kwenye sasa unapaswa uwe mvumilivu na mwenye ngozi ngumu kwa hiyo isitegemee kwenye siasa mpinzani wako atakusaidia hata siku moja.Siasa ni Propaganda ,uongo ongeza na chumvi ukweli huwa ni kidogo sana kwa hiyo mtu anapimwa kwa hicho kidogo cha ukweli
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.

Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.

Madeni ya Lema yanamhusu nini yeye?
 
Gambo wewe hukumuelewa Dr. Samia, amekataza matusi ya aina zote! Hayo unayo hubiri kuwa Lema ana madeni, awapigie magoti wazungu etc, ni matusi!
Hizo ndizo siasa za kutukanana. Madeni ya Lema ni personal kama sura yake ilivyo personal! Ukisha sema Lema ana kichwa kama cha mbuzi, Lema anakojoa kitandani, Lema ana madeni etc yote hayo ni kumtusi Bwana Lema.
Maana hayo yote angekuwa nayo hayamzuii kutupigania sisi watanzania kupata haki zetu.
Na tusi jingine ulilosema ni kuwa Lema ni mjomba wako! Hiyo inalisaidia nini taifa letu? Awe mjomba asiwe mjomba wewe fanya kazi uliyotumwa kufanya. Na hili liwe onyo kwa viongozi wote, mkae chini mtafakari matusi aliyokataza Dr. Samia ni yapi/nini - nasema hivi maana mpaka sasa hamuelewi siasa Safi ni nini. Kurushiana vijembe, kejeli, ni matusi pia. Na asinge ishia hapo Dr. Samia - angeendelea na kusema atakaye msema vibaya Dr Magufuli (marehemu) ashughulikiwe. Ruto wa Kenya alitamka wazi kwamba siasa za Kumchamba Kenyatta zisitishwe mara moja na ikawa hivyo. Tanzania tunataka siasa za kutuletea maendeleo siyo za vijembe.
 
Back
Top Bottom