Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Kila mtu anakopa ye mwenyewe anakopa mama anakopa baba pia alikopa watu wote wakope hata mimi nikipata pakukopa nakopa.
 
Kama tunavyo tamani tusikope au tukikopa tulipe kama taifa, basi ni vyema na wengine kwa nafasi zao walipe hayo madeni popote walipo... wasikimbie madeni! Dawa ya deni ni kulipa, usitake kuja kulipaukiwa waziri, lipa sasa. Huko baadae tutakuona ni fisadi
Nani kawaambia Lema anadaiwa?
 
Kama tunavyo tamani tusikope au tukikopa tulipe kama taifa, basi ni vyema na wengine kwa nafasi zao walipe hayo madeni popote walipo... wasikimbie madeni! Dawa ya deni ni kulipa, usitake kuja kulipaukiwa waziri, lipa sasa. Huko baadae tutakuona ni fisadi
Unajua kiasi anachodaiwa? Nani anamdai?
 
Lema anashinda uchaguzi akiwa hukohuko Canada, bila kupiga kampeni
 
Kila siku unaingiza 7000 sawa na 210000 na mwezi hivyo usijione una uchumi wa maana. Wewe ni lofa tu usijiweke kundi la well off.
 
Back
Top Bottom