Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

Ukweli huwa unauma, dawa ya deni ni kulipa na siyo kujibanza Canada.
 
Gambo Arusha hawamkubali wala nini, na analifahamu.
 
Ana hofu Gambo

Huyu alibebwa kwa mbeleko ya mwendazake

Wabunge wote wa kubebwa wamechanganyikiwa

Yule wa kuwapeleka Birngham City kule kawe..... Bado
Lema hawezi kumshinda Gambo kwa namna yeyote Arusha. Upepo wa CHADEMA wa miaka hiyo haupo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…