Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Alienda kuomba ushauri kwa Bashite akimuuliza; Hivi mwenzangu unafanyaje maana unaharibu mara kibao na Magu atakusema hadharani lakini hakutengui. Nipe siri yake!

Mrisho kamkumbushia Bashite, angalia ulikuwa na skendo ya makonteina- ukapangua, Vyeti feke, Koko beach, Ukusanyaji wa kodi DSM nk.
Una uhakika???,maana usije wekwa kati halafu ukabaki kutoa macho km panya aliyebanwa kwenye mlango.
 
Ndio najua kwanini wengine mnafeli mitihani na maisha, sbb hata kujua nini kinaendelea hujui.. Yaani utumbuliwe na Mwenyekiti wa CCM, kisha akuchague ugombee ubunge kupitia CCM, inaingia akilini kweli?
[/QUO
Haya mwenye akili ya kujua Mzee Pombe anawaza nini
 
Tungepata katiba mpya iondoe hivyo vyeo visivyo na qualification hii nchi ingeanza kusogea kwenye maendeleo ya kweli.

Hizo kazi za RC na DC ndio zinasababisha yote uliyoeleza hapo juu, wanaangalia mwenye sura nzuri, mwenye kujua matusi, mpiga ngumi mzuri...
Check yule uvccm wa Iringa aliyetishia kumuua zito na mbowe CV imembeba ya kuwa DC
 
Sarakasi hizo za uchaguzi,hao watoto pendwa usitegemee
Mwishoni alijaa kibri usishangae akakosa hata jimbo !!! Dr Bashiru anemchukia sasa jiulize atapenyaje?? Arudi chamani akaombe radhi mnoooooo kwa Badhiru !!! Sio Makonda !! Ni Bashiru kwa taarifa yako
 
Kitendo Cha Mh. Rais kutuondolea huyu aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kimenifurahisha na kupelekea Jana nilewe Hadi kuzimia.

1.Mrisho Gambo alikuwa ana majivuno Sana
2.Alikuwa Mungu wa Dunia.
3.Alikuwa mtu wakuona wasio na madaraka ni wadudu tu kwahiyo wanaweza kufanywa chochote.mfano kusweka watu ndani na kuamrisha hapana kupewa dhamana.
3.Alikuwa mtu wa Visasi mno hata kupoteza wapinzani wake bila kujali hao wapinzani wapo ndani au Nje ya Ccm.
4.Alikuwa ni mtu mchonganishi mno.
Hii iwe fundisho kwa Vijana wengine tukipewa Madaraka tukumbuke Vyeo ni dhamana tu.
Tukumbuke utu na Ubinadamu.
 
utakufa na pressure mkuu, kunywa maji kwanza ulelax, hakuna kijana mpenda maendeleo kama huyo kihongosi, hapa iringa kaleta maendeleo kupita hata wabunge wenyewe, nina imani kubwa huko arusha wataneemeka na uongozi wake,
Kijana...usiwe huna hata msingi tu wa elimu ya Uraia.Maendeleo analeta Mwenyekiti wa UVCCM??ndio elimu mnayojifunza siku hizi?
 
Kitendo Cha Mh. Rais kutuondolea huyu aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kimenifurahisha na kupelekea Jana nilewe Hadi kuzimia.

1.Mrisho Gambo alikuwa ana majivuno Sana
2.Alikuwa Mungu wa Dunia.
3.Alikuwa mtu wakuona wasio na madaraka ni wadudu tu kwahiyo wanaweza kufanywa chochote.mfano kusweka watu ndani na kuamrisha hapana kupewa dhamana.
3.Alikuwa mtu wa Visasi mno hata kupoteza wapinzani wake bila kujali hao wapinzani wapo ndani au Nje ya Ccm.
4.Alikuwa ni mtu mchonganishi mno.
Hii iwe fundisho kwa Vijana wengine tukipewa Madaraka tukumbuke Vyeo ni dhamana tu.
Tukumbuke utu na Ubinadamu.
Akiibukia Uwaziri utasemaje? kaba ya ulimi!
 
Kwani vyeo vya kumteua zaidi ya alichokuwa nacho vimeisha?

Ulitumia vibaya pesayako.
 
Kitendo Cha Mh. Rais kutuondolea huyu aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kimenifurahisha na kupelekea Jana nilewe Hadi kuzimia.

1.Mrisho Gambo alikuwa ana majivuno Sana
2.Alikuwa Mungu wa Dunia.
3.Alikuwa mtu wakuona wasio na madaraka ni wadudu tu kwahiyo wanaweza kufanywa chochote.mfano kusweka watu ndani na kuamrisha hapana kupewa dhamana.
3.Alikuwa mtu wa Visasi mno hata kupoteza wapinzani wake bila kujali hao wapinzani wapo ndani au Nje ya Ccm.
4.Alikuwa ni mtu mchonganishi mno.
Hii iwe fundisho kwa Vijana wengine tukipewa Madaraka tukumbuke Vyeo ni dhamana tu.
Tukumbuke utu na Ubinadamu.
Kuliko Mungu wa Dar
IMG_20200620_182404.jpg
 
Back
Top Bottom