Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wanawania jimbo la Lema mkuu. Naona kaamua ale vichwa vyote.Arusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo
Rejea Nape alisifiwa kule kwao Tandahimba na wiki hiyo hiyo akaliwa kichwa..Mbona nijuzi tu kamsifia Mtoto pendwa wa Jesu'. Haikusaidia?
😁😁😁😁Si ndio alisema vijana wa CCM wakizeeka wanakuwa wachawi
CCM kuna demokrasia pana!