Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo na wengine watatu wametenguliwa katika nyazifa zao mkoani Arusha. Hii inaashiria utendaji wao hususani katika migogoro mpakani. Ama kweli JPM hataki lelemama
 
Mkuu wa mkoa Arusha, Mrisho Gambo amepigwa chini kama mkuu wa mkoa leo 19/06/2020
 
Kaharibu nini huyo Gambo. Pamoja na kujipendekeza kote kwa Mfalme na Mwana Mfalme imekuwa kazi bure.

Wajuvi tuambieni kulikoni
 
Yani katumbua uongozi mzima wa wilaya ya Arusha na RC wao.
 
Hawa viongozi wa juu wa Arusha nini tena kimewaponza? Au Vita vya ubunge?
 
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa mkuu wa mkoa Arusha Mrisho Gambo na mkuu wa wilaya Arusha, pia amewateua watakaoshika nafasi zao ambao wataapishwa Jumatatu ijayo.
 
Back
Top Bottom