Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kosa lake nini mmoja wa watoto pendwa wa mheshimiwa.

Hao inaonekana kuna mchongo walikuwa wanapiga kwa pamoja, ndio maana wote wametenguliwa.
Huwa wanalumbana sawa hawa 3.
Mfano soko la Samunge lililoungua moto, inasadikika Gambo aliunguza na kujifanya anawasaidia kurudia hali zao za awali ili aonekane anawajali.
Baada ya soku kuungua, Bwana Madeni na Daqaro waliamua walijenge kisasa lakini walipingwa na Gambo.
Wakati wataalum wa michoro walikesha usiku na mchana kuandaa michoro pale sokoni lakini Gambo alibatilisha na hatimaye alihamishia ofisi pale eti amekuja kupokea kero za wamachinga na kuchana ramani mpya
 
Duuh, RC, DC, DED.. hapa kuna dili walikuwa wamepanga wote, labda hilo la ubunge, mtu umepewa uRC unahangaika na ubunge ya nini? Sasa kakosa yote. Pia ugomvi usioisha kati hao watatu, RC haelewani na DED & DC.
 
Back
Top Bottom