Magufuli sijui huwa hawezi kutunza kumbukumbu ya kauli zake, leo anaongea hiki baada ya mwezi mmoja anakuja kuongea kitu kinachopinga na kile alicholisema mwezi mmoja uliopita.
Mzee wa Fix leo kaharibu Arusha.
Kujiharibia na kumuharibia Gambo.
Huu upuuzi wa leo Arusha, hadi wanaCCM wa Arusha wamesikitika.
Mzee wa Fix kashindwa kuwa mkweli na muungwana.