mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Lema anapumua sasa!Kwisha kazi.
Wamegombania fito, mwisho wa siku wamekosa wote.
Hamna kitu, hao wamepigwa chini kwasababu ya migogoro baina ya dc na rc.Kuna kitu kinaangaliwa Wana Arusha wajiandae kiasaikolojia mapema.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha atenguliwa
mbona nijuzi tu kamsifia Mtoto pendwa wa Jesu'
haikusaidia?
Safi sana kijana alikuwa anajifanya ni mpuuzi sana kumbe wa kawaida tu
Hii ni "Kamati ya ushindi" mkoa wa Arusha.
Lema kwaheri.
Inawezekana pia wameliwa vichwa StrategicallyWanawania jimbo la Lema mkuu. Naona kaamua ale vichwa vyote.