Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Haya Gambo njoo mtaani uone maisha halisi yalivyo
 
Kosa lake nini mmoja wa watoto pendwa wa mheshimiwa.

Hao inaonekana kuna mchongo walikuwa wanapiga kwa pamoja, ndio maana wote wametenguliwa.

Walikuwa na ugomvi kila siku, hadi waliitwa dodoma kwa Jaffo
 

Gambo alijisahau na kujiona yeye nae ni mtoto mpendwa wa baba kama vile alivyo bashite kumbe anajidanganya tu.

Bashite alishafanya makubwa kuliko ya Gambo lkn hajawahi kufanywa chochote kile.
 
Nafikiri wajiandae wakuu wa mikoa wote waliotumwa kwenda kuumaliza upinzani wakafeli


Stay tuned for IRINGA..MBEYA..KILIMANJARO

Jiandaeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…