Kwa mwanasiasa nunda kama Gambo hilo halimtetereshiPole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.
Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Gambo aliwahi kuwa DC korogwe akatenguliwa pia
Kwangu mie hizo ni hesabu za kumpa nafasi ya kugombea ubunge