Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Alikuwa anapiga kampeni Arusha mjini na alishawaonya ma RC, RAS, DC na DAS wote wasiwanie ubunge na ndiyo maana Kafulila kawa mpole na mwenye mawazo mengi sanaaa
Hapo sasa nimeelewaaa sasa na wao walishindwa kuvumilia siku zishabaki chache haya washapokea kilicho stahili yao!
 
Sikushangai we ndio wale wale mnatokea kishimundu, mnasema mmetokea Arusha..leta statistics...achana na habari za wamachinga wa stand.

Warangi wenyewe wanaoishi pale ngarenaro ni wengi kuliko hivyo vichagga hapo stand lakini huwa hawakani wanapotaka
Wala hata mie sio wa kabila hilo..ila ukweli utabaki kuwa hivo...na hata siasa wao wanatawala kwa ukaribu sana....wameru wengi ambao ni wako wilaya za Arumeru pia Waarusha.....ila Arusha mjini hao wakina Mangi meza ni wote...sasa najua wewe una hasira kwa sababu Waarusha ujinga wao wa kuuza uza mashamba na kurudi nyuma ndo uliofanya wameuza mji wote kwa wachaga..bisha tuu lkn najua sindano inakuingia.
 
Hivi tangia uchaguzi wa vyama vingi, kuna masai, mmeru, muarusha ashawahi kuwa Mbunge hapo Arusha Mjini?
Huyu si Tajiri Tanzanite analeta tuu chuki na kuweka ukweli kando...hata mwaka huu upande wa CCM atasimama Mushi..hao Waarusha waliuza mji wote wakarudi maporini maana hawapendagi population sasa,jamaa anabisha tuu..itakuwa ni mwarusha huyo..
 
Hehehe hafahamu bila nguvu ya wafanyabiashara wachaga kwa ushawishi Marehemu Mzee Kileo CCM isingewahi kushinda hilo jimbo tangia siasa za vyama vingi ianze..

Na piga ua hapo lazima asimame mchaga kama wanakitaka jimbo..
 
U
Japo liko kimkakati zaidi lakini gumbo alizidisha ngebe na nyodo.. Na aliyemmaliza ni huyo DC ambaye ni TISS 100%.. Huyo anahamishwa kwenda kuwamaliza wengine..
CCM Arusha ilikuwa inapitia kipindi kigumu kwakuwa viongozi wa juu walikuwa hawaelewani
Usisahau hata RC mpya mteule ni wale wale TU alikuwa Bodyguard wa Mzee mkapa
 
Mbona kama wamuogopa
Mkuu,nenda Arusha ukatafute zile kelele za l"pipoz power"na "makamanda"kama utazisikiaga tena....ukumbuke tuu wafuasi wengi wa Lema walikuwa ni watu wa tabaka la Chini ambao Lema alikua anatumia kigezo cha wao kupewa sehemu ya kufanyia biashara,baada ya rais kuruhusu Machinga na wakapewa soko laa samunge...Lema alipakwa Mavi.......uchaguzi mkuu Njia ni nyeupe kwa CCM bila figisu mkuu....lema anajiandaa kuwa Muhubiri hilo lko wazi.
 
Hehehe hafahamu bila nguvu ya wafanyabiashara wachaga kwa ushawishi Marehemu Mzee Kileo CCM isingewahi kushinda hilo jimbo tangia siasa za vyama vingi ianze..

Na piga ua hapo lazima asimame mchaga kama wanakitaka jimbo..
Iko wazi mkuu...jamaa anajamba tuu hata huko kwenye "Tanzanite"waarusha ni mabroka wa chini tuu....nenda katafute wamiliki wa Mashimo 70 %ni wachaga...n wamefanikiwa...naona anaongea utumbo.
 
Wala hata mie sio wa kabila hilo..ila ukweli utabaki kuwa hivo...na hata siasa wao wanatawala kwa ukaribu sana....wameru wengi ambao ni wako wilaya za Arumeru pia Waarusha.....ila Arusha mjini hao wakina Mangi meza ni wote...sasa najua wewe una hasira kwa sababu Waarusha ujinga wao wa kuuza uza mashamba na kurudi nyuma ndo uliofanya wameuza mji wote kwa wachaga..bisha tuu lkn najua sindano inakuingia.
Sio Arusha tu viwanja vinauzwa hata ukienda moshi leo viwanja vinaunzwa kila mahali ila nikuhakikishie tu,wachagga ni kapopulation kadogo sana hapa mjini..huo ubunge wa Arusha musahau.

Na si Waarusha tu wanauza viwanja hata moshi vinauzwa sana ila watu wengi hawana interest na viwanja vya moshi kwasababu ule mji umedumaa,hakuna pesa,ule ni mji wamejaa wanawake na wauza mbege..sasa nani ataenda kuhekeza pesa zake pale.
 
Kuna haja mpya ya kuangalia sana jinsi wakuu wanavyogawa ukuu .. wa hii mikoa yetu , ni 50 years Sasa toka Uhuru ,Nchi imefanikiwa kuzalisha wasomi Na watu wenye Ujuzi Na exposure kwenye Nyanda mbalimbali.

Kuendelea kutoa ukuu kwa Kizingatia ukada wa chama, uwezo wa kutukana wapinzani Na mapambio ya kusifu- yanarudisha nyuma maendeleo ya mikoa yetu.

Mikoa mingi ina rasilimali mbalimbali, ina rasilimali fedha kutokana na resources mbalimbali, kuna Rasilimali watu walisomeshwa kwa fedha nyingi za Taifa hili .. Kwa nini mikoa inaendelea kuwa masikini na kutegemea serikali kuu ..

Kuna mapungufu makubwa kwenye safu za uongozi kwenye Mikoa yetu . Wengi wanawaza. Uchama na Ubunge.. maendeleo kuhusu mikoa yao ni zero .

Bora arudi tu ku burn CD Na kuweka nyimbo kwenye flash ...

Sijui anayekuja naye ana uzoefu gani ? Ngoja tuone !
Adjustments.JPG
 
Hivi huwa hawapewi taarifa za kutenguliwa?
Wakipewa taarifa mapema watajificha ndani, raha yake nayeye anausikia utenguzi akiwa ndiyo kwanza kaagiza raundi mezani, taratibu ananyata kama anaenda chooni kisha huyooooo.
 
Sio Arusha tu viwanja vinauzwa hata ukienda moshi leo viwanja vinaunzwa kila mahali ila nikuhakikishie tu,wachagga ni kapopulation kadogo sana hapa mjini..huo ubunge wa Arusha musahau.Na si Waarusha tu wanauza viwanja hata moshi vinauzwa sana ila watu wengi hawana interest na viwanja vya moshi kwasababu ule mji umedumaa,hakuna pesa,ule ni mji wamejaa wanawake na wauza mbege..sasa nani ataenda kuhekeza pesa zake pale.
Mkuu usiweke chuki jadili fact,mbona sie ni watu wa makabila mwngine na tunawatambua hawa wajamaa??acha wivu mkuu..kubali tuu kwamba babu zako hawakuwa clever .....wanatoa mashamba kwa kuchomewa kilo moja ya nyama na blanket...laumu wazee wako usiwaletee chuki wachaga bure.
 
Kwa mwanasiasa nunda kama Gambo hilo halimtetereshi
Gambo aliwahi kuwa DC korogwe akatenguliwa pia
Kwangu mie hizo ni hesabu za kumpa nafasi ya kugombea ubunge
Aliyekudanga ukiwa rc hugombei nani?
 
Sio Arusha tu viwanja vinauzwa hata ukienda moshi leo viwanja vinaunzwa kila mahali ila nikuhakikishie tu,wachagga ni kapopulation kadogo sana hapa mjini..huo ubunge wa Arusha musahau.Na si Waarusha tu wanauza viwanja hata moshi vinauzwa sana ila watu wengi hawana interest na viwanja vya moshi kwasababu ule mji umedumaa,hakuna pesa,ule ni mji wamejaa wanawake na wauza mbege..sasa nani ataenda kuhekeza pesa zake pale.
Nenda kanunue basi kiwanja moshi ama kachukue fomu huko ugombanie hata udiwani ..tuone.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha atenguliwa. Juzi kati Mrisho alienda Dar kumuomba Makonda amuombee msamaha kwa Magufuli lakini akakwama. Waliongozana kwenye kikao cha UVCCM pale Mnazi mmoja akajifanya kumsifia Magufuli.. Yote yameshindikana.

TAKUKURU walipoenda Arusha nikasema kuna watu wanaondoka.

Nmekumbuka Maneno ya Godbless Lema. Hakika Mungu ndo anapanga kesho yetu.

Nomba wafikishwe Mahakamani pia. Hii aione DPP

Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha
View attachment 1483610
Huyo dada mwenye kijani maslalah!
 
Back
Top Bottom