Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Utavuna ulichopanda
 
Gambo naye ni mwovu tu. Aliwaweka ndani watu waliokuwa wanachangishana rambirambi kwenye ajali ya Lucky Vicent. Kile kitendo kilikuwa kiovu mno. Katika aliowakamata walikuwepo viongozi wa dini. Unamkamataje mtu anayetaka kutoa rambirambi? Halafu bora ajiuzulu kwasababu muda mwingi atakuwa anatumia kujilinda badala ya kuwatumikia wananchi.
 
Kama ambvyo ulishirikiana na akina Sabaya ndivyo hovyohivyoo utakavyo lipa

Soo tulia msumari ukiingieee

Bora Lema aliyekimbilia Canada
 
Kwenye kesi ya Chacha Wangwe mahakama zinaaminika. Shahidi wenyewe si walewa;le waliyotumwa na Mbowe. CHADEMA ilipata majemedari waaminifu toka mkoa wa Mara, lakini kwa sababu ya siasa kali za Kikurya, haikukaa sawa na Mbowe. Ukweli Mara ilikuwa strong hold ya upinzani kama vile Mbeya na Iringa, lakini walionekana kama tishio kwa uongozi wa Mbowe. Tatizo kubwa la CHADEMA wana uongozi wa kisasi na hawajui kusamehe. Hivi ndivyo ilivyotokea kwa Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, na sasa wale wabunge!
 
Cheap popularity Mr Gambo.
 
chadema haina wapumbavu kama wapumbavu mliojazana ccm na kupiga watu risas.
Ukweli ni kuwa vyaa vyote vina wapumbavu, tofauti ni wapi wanaonekana zaidi na kwa nini. Pamoja na watu wengi kuonyesha kuwa malalamiko yanalenga CCM lakini kila nikiitafuta sababu ya CCM kumtafuta Gambo siioni. Ni kweli kuwa Gambo aliwania nafasi hiyo baada ya kuwashunda wagombeaji wa CCM, lakini wenye kuwa na sababu kubwa kuimdhuru Gambo ni CHADEMA, has Lema ambaye ndiyo alikuwa mpinzani wake mkubwa. Sisemi kuwa Lema ni mhusika bali yeye ni katika watu wanaoweza kushukiwa kuhusika.
 
Namshukuru Mungu aliniokoa na jaribio la kuwekewa vyupa kwenye supu.
 
Tumia maneno ya staha. Siasa zisikuondolee utu wako. Siasa zitapita ila utu utabaki. Mgao wa umeme na maji unatupiga wananchi wote, ila tunakubali kubaguliwa na kuchukiana kwa vyama.
Mkuu nikuwapotezea tu kwani ndio Mambuzi yenyewe hao.
 
Fitna haiwezi kukusaidia chochote unless otherwise wewe ni MCHAWI.
 
Kwa sababu aliwasema kukatika katika kwa umeme.
 
Jinai haifi, kakate rufaa kesi ianze upya Kama una ushahidi wa kutosha. Vinginevyo mkae kimya kwani mmawaumiza wapendwa wake Kama alivyofanya katibu mkuu mstaafu wenu kule dodoma kwa wajane wa taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…