Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utavuna ulichopandaMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema Wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu hivyo kwa sumu hawatampata labda Wanivizie Getini wampige Risasi
Gambo amesema hata Ofisini kwake haruhusiwi mtu yoyote kuingia kama Hayupo hata msaidizi wake haruhusiwi
Mbunge Gambo amemshukuru sana Rais Samia kwa namna anavyowatatulia matatizo ya jimbo lao kwa Wakati " mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni" amesisitiza Gambo
Source: Global tv
My take; Wamsubiri getini wampige Risasi ndio sijaelewa