greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Amekuja Makonda mmemuita mnafiki, mnataka Mondi naye aje mumfanye nini!!!?? Kwani mkienda wenyewe msibani si inatosha?Hakuna Povu Mkuu kwani asipoenda kuna tatizo? Au akienda Ruge atafufuka?
Wewe mama yako unamlala juma ngapi?Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.
Umaarufu una gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndiyo NENO LA SIKU.Ugomvi wa WCB na CLOUDS ni zaidi ya biashara ni PERSONAL!! sitashangaa asipoenda, mtu akikukwamisha kimaisha kwa kukunyima airtime ya bidhaa(nyimbo) yako anakuua kibiashara maana anakutakia kifo cha kimwili au uwe ombaomba maisha yako yote, kwanini we ujifanye mnafiki anapoondoka huyo mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wangekua hawashoboki nae wangejazana kwny kila post yake?Unaafiki tu!!!diamond kampigia mpoto ampe kick maana anaona watu hawashoboki nae[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza chuki, kwani wewe msibani umeenda!? Amakweli masikini haishi kisirani.Wala sijamtaka aende
Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!
Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki
Nadhani tumeelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha calculated movies kafaeli,wewe mtu mdogo wako umesema namba yake ya simu unayo kwa nini usimpigie? au basi ili kulipa uzito kwake unapajua, kwa nini usiende kwake ili hata yeye akose sababu.Picha aliyotumia kwenye hilo bamdiko lake inaelezea zaidi kuhusu lengo lake kuliko maneno aliyoyaambatanisha hapo chini,bahati mbaya wengi hawajaliona hilo.Calculated moves.
Sent using Jamii Forums mobile app
usi judge kitu usicho kijua undani wake,Watanzania ujinga umejaa kichwani. Hata wale waliotuaminisha ni great thinker kama mpoto nao kumbe ni vumbi tu kichwani.
Yaani huyo sijui mtu mmoja anaombwa kwenda msibani!
Amshauri kwanza aende akamsalimie mzazi wake.
Wewe mtu kamkazia mshua wake itakuwa huyo Ruge??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Diamond alisha wahi ku reply chochote kuhusu tuhuma za baba yake juu yake? Ni vyema siku Diamond akiongea ndy mfanye kubalance mzaniKama yeye ana akili akampatanishe na baba yake kwanza. Akiweza ndio akamzike Ruge kama msiba utaendelea kuwepo.
Sent using my Nokia Torch
Kumbe bado majiniazi mpo!Big upHivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??
Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jide hana ushawishi kwa sasa
Ikiwa tafakuri yako imegubikwa na hisia badala ya mantiki huwezi nielewa.Mi nimezungumzia choice ya picha aliyoamua kuitumia kwenye bandiko lake in relation to alichoandika chini ya picha,Hyo picha siyo ya kumuitia mtu msibani,kuna picha nyingi sana za diamond ambazo zinaendana na maudhui ya aliyoyaandika,lakini kwa sababu alichoandika hakilandani waal kusadifu kile kilichopo moyoni mwake na yale anayoyafahamu ndio maana katumia picha iliyopaswa kutumika kwenye post ama bango la promo ya wasafi festival,Tuligwa what am talkin abauti?,kuhusu kufeli ama kufaulu kwa lengo huo ni mjadala mwengine,anaweza kuwa amefeli kwa watu 1000 mlioshtukia chezo lakini akafaulu kwa watu/manyumbu/mazuzu 100,000,sasa hapo utasema kafeli ama kafaulu?.Hamna cha calculated movies kafaeli,wewe mtu mdogo wako umesema namba yake ya simu unayo kwa nini usimpigie? au basi ili kulipa uzito kwake unapajua, kwa nini usiende kwake ili hata yeye akose sababu.
Sasa akikuambia yeye hajaiona hiyo posti utamlaumu? Huu unafiki instagram imetufanya tuwe kama wendawazimu sometimes,hatujui kipi kiende instagram na kipi kispostiwe instagram.
Hata angetumia picha gani kwa kifupi amekosea kupost instagram huo ndio ukweli.Hiyo picha sio ya bango la wasafi festival,baili ilikuwa wakati wa promo wa uzinduzi wake wa album ya a boy from Tandale Kenya.Ikiwa tafakuri yako imegubikwa na hisia huwezi nielewa.Mi nimezungumzia choice ya picha aliyoamua kuitumia kwenye bandiko lake in relation to alichoandika chini ya picha,Hyo picha siyo ya kumuitia mtu msibani,kuna picha nyingi sana za diamond ambazo zinaendana na maudhui ya aliyoyaandika,lakini kwa sababu alichoandika hakilandani na kile kilichopo moyoni mwake na yale anayoyafahamu ndio maana katumia picha iliyopaswa kutumika kwenye post ama bango la promo ya wasafi festival,Tuligwa what am talkin abauti?,kuhusu kufeli ama kufaulu kwa lengo huo ni mjadala mwengine,anaweza kuwa amefeli kwa watu 1000 mlioshtukia chezo lakini akafaulu kwa watu/manyHumbu/mazuzu 100,000,sasa hapo utasema kafeli ama kafaulu?.
Sent using Jamii Forums mobile app