Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Watanzania ujinga umejaa kichwani. Hata wale waliotuaminisha ni great thinker kama mpoto nao kumbe ni vumbi tu kichwani.

Yaani huyo sijui mtu mmoja anaombwa kwenda msibani!

Amshauri kwanza aende akamsalimie mzazi wake.

Wewe mtu kamkazia mshua wake itakuwa huyo Ruge??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugomvi wa WCB na CLOUDS ni zaidi ya biashara ni PERSONAL!! sitashangaa asipoenda, mtu akikukwamisha kimaisha kwa kukunyima airtime ya bidhaa(nyimbo) yako anakuua kibiashara maana anakutakia kifo cha kimwili au uwe ombaomba maisha yako yote, kwanini we ujifanye mnafiki anapoondoka huyo mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndiyo NENO LA SIKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha aliyotumia kwenye hilo bamdiko lake inaelezea zaidi kuhusu lengo lake kuliko maneno aliyoyaambatanisha hapo chini,bahati mbaya wengi hawajaliona hilo.Calculated moves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala sijamtaka aende

Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!

Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki

Nadhani tumeelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza chuki, kwani wewe msibani umeenda!? Amakweli masikini haishi kisirani.
Kumchukia aliyefanikiwa hakutakutoa kwenye dimbwi la ufukara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha aliyotumia kwenye hilo bamdiko lake inaelezea zaidi kuhusu lengo lake kuliko maneno aliyoyaambatanisha hapo chini,bahati mbaya wengi hawajaliona hilo.Calculated moves.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha calculated movies kafaeli,wewe mtu mdogo wako umesema namba yake ya simu unayo kwa nini usimpigie? au basi ili kulipa uzito kwake unapajua, kwa nini usiende kwake ili hata yeye akose sababu.

Sasa akikuambia yeye hajaiona hiyo posti utamlaumu? Huu unafiki instagram imetufanya tuwe kama wendawazimu sometimes,hatujui kipi kiende instagram na kipi kispostiwe instagram.
 
Watanzania ujinga umejaa kichwani. Hata wale waliotuaminisha ni great thinker kama mpoto nao kumbe ni vumbi tu kichwani.

Yaani huyo sijui mtu mmoja anaombwa kwenda msibani!

Amshauri kwanza aende akamsalimie mzazi wake.

Wewe mtu kamkazia mshua wake itakuwa huyo Ruge??

Sent using Jamii Forums mobile app
usi judge kitu usicho kijua undani wake,
 
Masikini mna tabu sana, Hata mwili wa marehemu haujafika mshaanza kuongea upuuzi!!! Mngesubiri msiba uishe ndo tuone nani na nani hawajaonekana. Hata hivyo kwenda au kutoenda msibani ni maamuzi binafsi ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yeye ana akili akampatanishe na baba yake kwanza. Akiweza ndio akamzike Ruge kama msiba utaendelea kuwepo.

Sent using my Nokia Torch
Hivi Diamond alisha wahi ku reply chochote kuhusu tuhuma za baba yake juu yake? Ni vyema siku Diamond akiongea ndy mfanye kubalance mzani
 
Kwani akiwa hajafika msibani huyo Nassib, Ruge hatozikwa ama vipi.? Yeye ninani hata aombwe, ingelikuwa yeye Padri au Shekhe ama yeye ni lile Jeneza ama yeye ni Lile Chepe........etc. lakini yeye ni mtu tu kama watu wengine hana umuhimu hana umuhimu wowote. Basi afadhali hata chumvi ina umuhimu katika chakula mana hailiki karam bila ya chumvi kutiwa. Basi ujue Chumvi inasamani zaidi ya Nassib. "ALAMSIKI"
 
Hamna cha calculated movies kafaeli,wewe mtu mdogo wako umesema namba yake ya simu unayo kwa nini usimpigie? au basi ili kulipa uzito kwake unapajua, kwa nini usiende kwake ili hata yeye akose sababu.

Sasa akikuambia yeye hajaiona hiyo posti utamlaumu? Huu unafiki instagram imetufanya tuwe kama wendawazimu sometimes,hatujui kipi kiende instagram na kipi kispostiwe instagram.
Ikiwa tafakuri yako imegubikwa na hisia badala ya mantiki huwezi nielewa.Mi nimezungumzia choice ya picha aliyoamua kuitumia kwenye bandiko lake in relation to alichoandika chini ya picha,Hyo picha siyo ya kumuitia mtu msibani,kuna picha nyingi sana za diamond ambazo zinaendana na maudhui ya aliyoyaandika,lakini kwa sababu alichoandika hakilandani waal kusadifu kile kilichopo moyoni mwake na yale anayoyafahamu ndio maana katumia picha iliyopaswa kutumika kwenye post ama bango la promo ya wasafi festival,Tuligwa what am talkin abauti?,kuhusu kufeli ama kufaulu kwa lengo huo ni mjadala mwengine,anaweza kuwa amefeli kwa watu 1000 mlioshtukia chezo lakini akafaulu kwa watu/manyumbu/mazuzu 100,000,sasa hapo utasema kafeli ama kafaulu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa tafakuri yako imegubikwa na hisia huwezi nielewa.Mi nimezungumzia choice ya picha aliyoamua kuitumia kwenye bandiko lake in relation to alichoandika chini ya picha,Hyo picha siyo ya kumuitia mtu msibani,kuna picha nyingi sana za diamond ambazo zinaendana na maudhui ya aliyoyaandika,lakini kwa sababu alichoandika hakilandani na kile kilichopo moyoni mwake na yale anayoyafahamu ndio maana katumia picha iliyopaswa kutumika kwenye post ama bango la promo ya wasafi festival,Tuligwa what am talkin abauti?,kuhusu kufeli ama kufaulu kwa lengo huo ni mjadala mwengine,anaweza kuwa amefeli kwa watu 1000 mlioshtukia chezo lakini akafaulu kwa watu/manyHumbu/mazuzu 100,000,sasa hapo utasema kafeli ama kafaulu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata angetumia picha gani kwa kifupi amekosea kupost instagram huo ndio ukweli.Hiyo picha sio ya bango la wasafi festival,baili ilikuwa wakati wa promo wa uzinduzi wake wa album ya a boy from Tandale Kenya.

Kama angekuwa na nia ya dhati kabisa ya kumshawishi Mondi aje msibani njia zilikuwa mbili nikumpigia simu au kwa uzito nikumfuata kwake na si hizi drama za Instagram.
 
Back
Top Bottom