Ikiwa tafakuri yako imegubikwa na hisia huwezi nielewa.Mi nimezungumzia choice ya picha aliyoamua kuitumia kwenye bandiko lake in relation to alichoandika chini ya picha,Hyo picha siyo ya kumuitia mtu msibani,kuna picha nyingi sana za diamond ambazo zinaendana na maudhui ya aliyoyaandika,lakini kwa sababu alichoandika hakilandani na kile kilichopo moyoni mwake na yale anayoyafahamu ndio maana katumia picha iliyopaswa kutumika kwenye post ama bango la promo ya wasafi festival,Tuligwa what am talkin abauti?,kuhusu kufeli ama kufaulu kwa lengo huo ni mjadala mwengine,anaweza kuwa amefeli kwa watu 1000 mlioshtukia chezo lakini akafaulu kwa watu/manyHumbu/mazuzu 100,000,sasa hapo utasema kafeli ama kafaulu?.
Sent using
Jamii Forums mobile app