antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kubishana na machawa jinga kama hilo Mrisho Mpoto ni kupoteza mudaAkizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida
MRISHO mpoto Hana Akili TIMAMU ni mwehu tu.ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida
Nazungumzia kusakamwa, kikosi maalum cha kupambana na ujambazi (task force) aliunda jakayaMkapa alisakamwa na mauaji ya Bulyankulu, hata ujambazi wakati wake ndio walianzisha kikosi maalum cha kupambana na ujambazi lakini hakukuwa na huu ujinga wa kupotezana.
Ulikuwa na umri gani wakati wa Mkapa? Unazijua Land Rover Defender Pickup nyeupe TZR aka Farasi Mweupe? Zilikuwa wakati wa naniNazungumzia kusakamwa, kikosi maalum cha kupambana na ujambazi (task force) aliunda jakaya
Matumizi mabaya ya akili.Unaharibu muda wa wasikilizaji wako kwa kufanya interview na kichaa
Angekufa yeye, hana faida huyu comedian. Huyu mtu anayo akili kweli? Kutembea miguu peku peku anaona ni jambo la fahari. Huyu ni garbage.Mpoto angeachwa atulie kwanza,kupoteza mke sio jambo dogo
Hizi alikuwa anaandikiwa"Vita vyetu tokea uhuru"
"Natoa katoni 100 za sabuni"
Sinzonje
Adela
Nikipata nauli
Asanteni kwa kuja
Waite
Samahani wanangu
Wakati mke amefariki akaanza kutaja mali alizonazo "..nyumba zaidi ya kumi hapa Dar...ghorofa imefika asilimia 80..." Ili mademu wajichanganye awape ile staili pendwaAngekufa yeye, hana faida huyu comedian. Huyu mtu anayo akili kweli? Kutembea miguu peku peku anaona ni jambo la fahari. Huyu ni garbage.
Mtu anayetembea peku hiyo siyo akili ya kawaida ni uchiziAngekufa yeye, hana faida huyu comedian. Huyu mtu anayo akili kweli? Kutembea miguu peku peku anaona ni jambo la fahari. Huyu ni garbage.
Mtu wa kwanza mwenye jukumu la kulinda usalama wa raia wake ni RAISAkizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na Rais, akidai yawezekana wanatekana wenyewe
Pia amesema anapaza sauti pindi huduma za kijamii zinapokua shida