Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

Kwa sasa Taifa lina hitaji Kiongozi, wewe ni mfanya biashara, una kwenda Bank kulipia mzigo, unaambiwa USD hakuna, jaza form za malipo ya nje, ziache hapa tutakupigia simu tukijadiliana na Branch manager tuone kama itawezekana, hivi kweli tutafanya biashara kwa mtindo huu? , online transactions zote zime kuwa affected, hata kama una transact 500$ haiwezekani, hairuhusiwi hadi uende Bank, ujaze form na uache wakijadili, au urudi kesho yake uulize vipi ombi langu lime kubaliwa? , Mama Samia Raisi wenu ni bure kabisa, yaani yupo yupo tu hajui ni afanye, biashara imekuwa ya hovyo sana.

Tz shillings thamani ina shuka kwa kasi ambayo toka tupate uhuru haijawahi shuhudia, binafsi nilijua Mama yenyu hakuna kitu , lilikuwa suala la muda tu, kibaya zaidi yuko busy kutaka kuwa Rais 2025, hii nchi pengine wananchi kuna utindiwa wa ubongo sio kawaida hii.
 
 

Attachments

  • IMG_0329.MP4
    2.3 MB
Naunga mkono hoja 🖐️
 
Hili suala la kumsifia mama anupiga mwingi wakati uchumi unazidi kudorora ni upuuzi mkubwa na bahati mbaya hakuna jitihada zozote serikali inafanya kuchukua hatua juu ya hilo. Bidhaa kupanda bei, tozo na kodi kandamizi kwa wafanyabiashara, ukosefu wa ajira na jinamizi la pensheni pamoja na bima ya afya ni changamoto ambazo hazipaswi kukaliwa kimya. Nadhani ni suala la muda tu wananchi watachoka na kuamua liwalo na liwe.
 
Wewe hauna akili wewe. Hayo madeni alikopa wapi na wapi?! Mikopo aliyokopa magufuri inajulikana na ilikuwa ni mikataba ya kibiashara sio hii mikataba ya kupeana kidogo mkono wa kulia halafu unanyang'anywa kwa wingi mkono wa kushoto.

Za kuambiwa changanya na zako. Leta mikopo aliyokopa magufuri hapa weka na total amount halafu nikupe mikopo ya huyu mama hapa uone kwenye deni la taifa nini kimetokea.
 
Sasa ngosha, tatizo lako ni kunihadithia story za vijiweni! Alafu tatizo kubwa zaidi kwako ni kuhisi una akili!
 
Kejeli !
 
Wewe mpumbavu hujui misingi ya uchumi. Nenda uani kajisetiri halafu ukalale.

Uchumi kavuruga Magufuli, ila Rais Samia ndiyo anaujenga.
 
Kakuambia nani kuwa kuna mwanasiasa aliwahi kutokea/atatokea mwenye madhumuni na nia ya kuinua uchumi wa Taifa la Tanzania?
Amka,usiote tena vitu vya ajabu.
 
Rais SAMIA ni mzalendo wa kweli.
Acha roho mbaya.
 
Sa tufanyeje mkuu.. ndo mpaka 2030 hhyoo..
 
WEWE UMELIFANYIA NINI TAIFA UKIWA RAIA, NA JE UMEGUNDUA NN CHAKUFANYA TAIFA LIENDELEE, PIA UMESHAURI NINI KIFANYIKE ILI NCHI ISONGE MBELE ZAIDI, ILI MTU AENDELEE ANAITIJI KUDAI NA KUDAIWA
 
Katiba ni muhimu ili kuwadhibiti hawa marais goigoi.inatakiwa katiba itambue hawa marais wa kurithi waongoze mwaka mmoja tu na kuitisha uchaguzi ili kama atakuwa anamatumaini watamchagua na kama ni wa hovyo kama huyu wananchi hawatamchagua.kila sehemu nchi imeoza lakini wapuuzi wachache wanamsifu ili waendelee kuiba pesa za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…