mwelemimmongo
Member
- Feb 16, 2021
- 95
- 75
Njoo bariadi mjini ushuudie kamatakamata ya pikipiki zenye plate namba nyeuupe TRA ni balaa sana.boda boda hawana hamu,siku ya mbina (Ngoma)waliwakamata kinoma Tena Kwa kuviziwa ,yaani unaviziwa unaenda kupata huduma ktk ofisi zilizo jirani wanakudaka, Sasa Cha ajabu pesa zikienda huko serikalini zinaibiwa ovyo ovyo tu,jamani kuweni na huruma nasi jamani kitaa pagumu sanaKatika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..
My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app