Kwa sasa Taifa lina hitaji Kiongozi, wewe ni mfanya biashara, una kwenda Bank kulipia mzigo, unaambiwa USD hakuna, jaza form za malipo ya nje, ziache hapa tutakupigia simu tukijadiliana na Branch manager tuone kama itawezekana, hivi kweli tutafanya biashara kwa mtindo huu? , online transactions zote zime kuwa affected, hata kama una transact 500$ haiwezekani, hairuhusiwi hadi uende Bank, ujaze form na uache wakijadili, au urudi kesho yake uulize vipi ombi langu lime kubaliwa? , Mama Samia Raisi wenu ni bure kabisa, yaani yupo yupo tu hajui ni afanye, biashara imekuwa ya hovyo sana.
Tz shillings thamani ina shuka kwa kasi ambayo toka tupate uhuru haijawahi shuhudia, binafsi nilijua Mama yenyu hakuna kitu , lilikuwa suala la muda tu, kibaya zaidi yuko busy kutaka kuwa Rais 2025, hii nchi pengine wananchi kuna utindiwa wa ubongo sio kawaida hii.