Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

Si yupo na waziri wa fedha nguli, mwenye PhD ya uchumi first class 🤣🤣 anapotupeleka anajua yeye na mchumi wake msomišŸ™suala la maza kutaka kugombea 2025,binafsi namshauri ajitafakarišŸ¤”kiti kimempwaya sana šŸ™it's very sad😢
Kama kimepwaya subiria 2025.Cha kufahamu ni kwamba Samia hawezi kuongoza Nchi kijinga na kibabe kama Mwendazake never
 
Katiba ni muhimu ili kuwadhibiti hawa marais goigoi.inatakiwa katiba itambue hawa marais wa kurithi waongoze mwaka mmoja tu na kuitisha uchaguzi ili kama atakuwa anamatumaini watamchagua na kama ni wa hovyo kama huyu wananchi hawatamchagua.kila sehemu nchi imeoza lakini wapuuzi wachache wanamsifu ili waendelee kuiba pesa za umma.
Labda umeoza wewe na familia yako, usituingize kwenye uozo wako
 
Anajenga nini huyo muimba taarabu.Maisha magumu kama tupo Somalia!
Wewe mzembe lazima uone maisha magumu kwa kuwa unategemea shemeji arudi kazini akupe hela ya bando na alipie king'amuzi.

Wajanja wanakimbiza fursa ziko kibao
 
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...

Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...

Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .

Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....

Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..

My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Wacha porojo uchuni mama kaukuta hohehahe, anaukinbiza na unakuwa kwa haraka sana.

Kikwete aliuwacha uchumi mzuri sana, bwana yule kuja akafanya mazagazaga yake tukaporomoka.

Mama anafaya vizuri sana kwenye uchumi, tafuta lingine.
 
Mama kasomea chuo Pakistan, nchi inayodidimia kiuchumi na kijamii kila kukicha. Mtegemee Pakistani Islamic ways of thinking in dealing with Tanzania’s problems.
 
Magufuli alivuruga Uchumi upi wakati ndio rais aliyeingiza nchi uchumi wa kati mnajua huu unafiki wenu na uwongo mnaoufanya mitandaoni mnaharibu nchi wenyewe halafu mnamsingizia Magufuli sijui mnatumwa na walamba asali na majizi kila baya likifanyika mnasema kafanya Magufuli ila mazuri yake hamtaji mnayachukua na kujisifia nayo kama juzi ikulu ya dodoma
Magufuli aliharibu uchumi ifuatavyo:-

1. Mabenki ya Biashara kufungwa

2. Wasiojuoikana

3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)

4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi

5. Uonevu wa Bashite

6. Sakata la bisdhsra ya korosho

7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi

8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki

9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public

10. Kutoheshimu katiba

11. Mishandle ya Covid - hasa second wave

12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)

13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake

14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing

15. Kuharibu private sector

16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015

17. Kuua private sector

18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge

19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria

20. TRA kubambika watu kodi
 
Ndio umekaa ukatungaa huu uchafu kutuaminisha propaganda za kinafiki tumeona Magufuli hakuwa rais bora hakuna wakuamini vitu kama hivi vya kutungwa na vyeti feki na walamba asali vipi vitabu vyenu vya chato vimenunuliwa vingapi mlivyotumia kumchafua Magufuli
 
Wewe ni MSUKULE tu ambaye umebaki hai baada ya aliyekushikia akili zako Magufuli kufa bila kukurudishia akili zako. Mimi nimeweka issues nilizochagua ambazo Mwendazake alifanya vibaya. Unapaswa uje na hoja ya kupinga.

Kwa mfano nimesema aliharibu zao la korosho, wewe njoo na hoja kuonyesha hakuharibu. Kinyume cha hapo wewe ni MSUKULE tu
 
Aliharibu Mwinyi, Mkapa akapata kazi nzito kurudisha nchi kwenye mstari.

Akaja Msoga, ufisadi ukatamalaki. Magufuli akainyoosha kwa kasi.

Kaja mama, afanye yake. Alafu akimaliza aingie Mgalatia kusawazisha.

Ukweli ni kuwa, Wagalatia ndiyo hufanya kazi nzito mno. Na pengine vifo vyao huwahi kwa sababu ya mizigo mizito wanayojitwisha kwa maslahi ya nchi.
Kwa Mkapa uko sahihi lakini kwa Kikwete na Magufuli sio sahihi.

Kuna maeneo mengi JK na Magu wote walivurunda, tofauti ilikuwa:-
1. Kiwango cha upashaji habari na uwazi. Wakati wa JK angalau media na Bunge vilijadili kwa kiasi fulani madudu husika lakini wakati wa Magu hakukuwa na uhuru kujadili madudu husika....

2. Propaganda - Magu alitumia kila kitu na njia kujijenga (Magufulism). JK hakuwa na falsafa hiyo.

Mwisho wa siku, Magu ameonekana (perceived) bora kwa Kiwango ambacho o si halisi wala hakina uhusiano wowote na ukweli wala uhalisia.
Eneo la uchumi ni mfano hai. Ufisadi ni eneo jingine - yote Magu anadhaniwa alifanya vizuri wakati si kweli. Facts hazisapoti hisia na kelele za wafuasi wa Magufuli.
 
Magufuri alikuwa anawanyooshea inchi hapa mkamwita muuwaji, sijui katili mara dikteta, MUNGU kamchukua sasa ni mwendo wa hawa mnaowataka wanaoharibu nchi hadi mtanyooka.
Kama Magufuli angekuwa hai leo - sukari ingekuwa kwa mgao, watu wangekuwa wanakula mlo mmoja kwa siku, watu wangevaa kaniki, sabuni za kuogea mngetumia jamaa (mngeambiwa za kutoka nje ni za mabeberu na ni anasa), mngekuwa na TBC radio & TV 24hrs, station nyingine zingefungiwa au kufikisiwa/ka; mabanki yangekuwa yamefungwa/filisika(wa) labda CRDB na NMB tu ndio wangekuwa sokoni - mngepata muda mzuri sana wa kumwimbia mapambio. Mngefurahi kuwa na nchi isiyo na. Matajiri wala ukwasi. Mngefurahi zaidi wote kuwa sawa (egalitarianism).
 
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...

Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...

Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .

Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....

Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..

My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Haa chawa wanakuambia kwa sĆ sa ndo uchumi umeimsrika etii
 
Samia kwa miaka michache kamzidi hayati Magufuli kwenye uchumi na diplomasia. Pia kwenye demokrasia na haki za binadamu kamzidi kwa mbali.

Udhaifu wake mkubwa uko kwenye usimamizi - hana basic skills. Competence yake kwenye good leadership ni ndogo.

Ila sasa afanye kazi moja tu muhimu, atupe Katiba Mpya. Akifanya hilo ataandika jjna lake kwa wino wa dhahabu katika historia ya Tanzania. Pia atakuwa na heshima na baraka hapa na milele
Naona unajichanganya .Kama hana basic skill , na competency anawezaje kumzid jpm
 
Kwa sasa Taifa lina hitaji Kiongozi, wewe ni mfanya biashara, una kwenda Bank kulipia mzigo, unaambiwa USD hakuna, jaza form za malipo ya nje, ziache hapa tutakupigia simu tukijadiliana na Branch manager tuone kama itawezekana, hivi kweli tutafanya biashara kwa mtindo huu? , online transactions zote zime kuwa affected, hata kama una transact 500$ haiwezekani, hairuhusiwi hadi uende Bank, ujaze form na uache wakijadili, au urudi kesho yake uulize vipi ombi langu lime kubaliwa? , Mama Samia Raisi wenu ni bure kabisa, yaani yupo yupo tu hajui ni afanye, biashara imekuwa ya hovyo sana.

Tz shillings thamani ina shuka kwa kasi ambayo toka tupate uhuru haijawahi shuhudia, binafsi nilijua Mama yenyu hakuna kitu , lilikuwa suala la muda tu, kibaya zaidi yuko busy kutaka kuwa Rais 2025, hii nchi pengine wananchi kuna utindiwa wa ubongo sio kawaida hii.
Nimefurahia ulivyomalizia ndo ukweli wenyewe huyu mama amna kitu
 
Hili suala la kumsifia mama anupiga mwingi wakati uchumi unazidi kudorora ni upuuzi mkubwa na bahati mbaya hakuna jitihada zozote serikali inafanya kuchukua hatua juu ya hilo. Bidhaa kupanda bei, tozo na kodi kandamizi kwa wafanyabiashara, ukosefu wa ajira na jinamizi la pensheni pamoja na bima ya afya ni changamoto ambazo hazipaswi kukaliwa kimya. Nadhani ni suala la muda tu wananchi watachoka na kuamua liwalo na liwe.
Abinafsishe na BOT kwa kuwa kichwa cha yule bibi kila akiona changamoto yeye immediately solution kwake huwa ni ubinafsishaji
 
Back
Top Bottom