Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kusikia budget na kutekeleza budget ni vitu viwili tofauti. Muda ni mwalimu mzuri. Ushabiki pembeni, Mama anajitahidi sana kuvutia wawekezaji. Lazima tuwe na sheria za kuwalinda na kujilinda pia, ili wote tunufaike.Acha Umbea; mama anafungulia nchi na ameongeza pesa kwenye mzunguko.
Umesikia juzi kulikuwa na bajeti ya wizara fulani ambayo sehemu kubwa inategemea mikopo na misaada kutoka nje, lakini ndani yake kuna 40b za posho kwa ajili ya kuongeza kwenye mzunguko!!
Ila mchwa wanakula hela za walipa kodi bila huruma. Hilo sio jambo la kuoneana haya wala kuficha. lazima wadhibitiwe